Recent content by pijala

  1. pijala

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kuna uhusiano kati ya Mungu na Shetani

    Shetani na Mungu walipigana vita na Mungu akamshinda.naye akatupwa duniani.hivyo vita havipo tena kati yao.ila.vita vimeamia kwa binadamu maana alimdanganya binadamu na kumwingiza kwwnye giza nene
  2. pijala

    JamiiForums Tanzania Toka ingie korona sishibi, resho imepunguzwa

    Yaani mjomba apunguze zaidi
  3. pijala

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Mmm ugoro mtupu.nimetoka kapa.
  4. pijala

    JamiiForums Tanzania CORONA INA NINI TZ?

    Tutalaumiana bure,lakini tunaosoma biblia tumeshajua kuwa asubuhi imeisha,mchana umeisha,jioni ndio hiyo inapotea.hizi wapendwa ni nyakati za mwisho.Muda huu ni muda wa kumtafuta Mungu sana.
  5. pijala

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Ubungo aomba radhi kwa kumtengua Meya Boniface Jacob

    Umefanya jambo la busara,ila mmm umeacha maswali mengi.
  6. pijala

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    Sijaona ubaya wowote
  7. pijala

    JamiiForums Tanzania Wanna tuache ubishi,Kuna mahali tumekosea.

    makosa gani ,hakuna makosa,soma biblia ufunua.nyakati za mwisho ni nyakati hatari.matetemeko,njaa,tauni,mafuriko.vyote hivyo vimetabiriwa.hivyo kwa sisi tunaona hakuna geni.jitaidi kumtafuta Mungu muda haugandi
  8. pijala

    JamiiForums Tanzania Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

    Yaleyale ya mwasapili.
  9. pijala

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma aonyesha mfano wa kujifukiza nyungu

    Mmm kazi ipo
  10. pijala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura yangu 2020

    Afadhali na wewe hatupiga kura wenzio tunawaza kuwa tutafika mwaka ujao
  11. pijala

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Wizara ya Elimu yapata msiba mzito, Bi Rose Mwakipesile amefariki jijini Dodoma

    Toa taarifa vizuri alikuwa ni nani katika wizara hiyo.sio wote wanamfahamu.
  12. pijala

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwalipa mshahara wabunge wanaokimbia kujadili bajeti ya Wananchi? Je, hawatapoteza ubunge wao?

    Kutohudhuria kikao bunge sio mwisho wa ubunge.mbunge unaweza kukoma kama umeshindwa kuhudhuria katika vikao vitatu vya bunge.wanaposema vikao vitatu vya bunge ni kuwa kila mwaka kuna vikao vitatu. Sasa vikao hivyo hakuonekana hata kimoja.vikao vitatu ni mkao wa 1,2,3 kwa mwaka huu,hiki ni kikao...
  13. pijala

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Naendelea kufuatili ila kuna ukweli ndani yake
Back
Top Bottom