Ila naomba uwe mwangalifu kwenye maswala haya ya hujuma. Unaweza ukaiona hujuma imefanyika kwa jirani yako, kumbe ukija kuchimba kwa undani zaidi, imekuumiza zaidi wewe kuliko hata huyo jirani yako. Kwa mfano, unaweza ukakuta mtu analalamika anafanyiwa hujuma kumbe hujuma hizo zinatokana na yeye kuhakikisha, Billion 28 za kila mwezi zinazopelekwa kwa ajili elimu bure haziibiwi. Sasa unaweza ukakuta wewe watoto wako wanne wako shule, yeye hana mtoto hata mmoja anayesoma shule. Hawa watu wawili kati ya mlalamikaji na wewe, nani anaweza kuwa amehujumiwa zaidi, assuming hizo pesa zingeweza kuibiwa zisifike kule zilikokuwa zimeelekezwa? Ukiona mtu analalamika, angalia kule, usiangalia kwenye ncha za vidole vyako hapo uliposimamaKwa
Kwa hiyo kwa kifupi wakristo mnahujumiana wenyewe kwa wenyewe. Nimekuelewa
Mimi huwa kila mara namuuliza ni nini kinamfanya awe na juhudi kiasi kile kwa ajili ya Mungu; na jibu lake ambalo huwa ananipa hili:nitasoma vizuri nikitulia. ila nimependa mdau anavyotenga muda wa kumtumikia Mungu. Mungu nisaidie na mimi hii kitu
Mungu anisaidie hiki kichwa changu hakielewi kabisaNi mao ya kiroho zadi. Zingatia kipengele hiki hapa:
SABA: Huyu bwana anadai kuwa kipindi kabla ya Corona, wakati watu walikuwa wako huru kushikana mikono, kuna watu wachache ambao alikuwa ameshawaainisha, ambao walikuwa wana tabia ya kuhakikisha kuwa wame-shake hands naye kabla Ibada haijaanza, na kwa nia ambayo yeye anadai kuwa haikuwa njema. Hawa watu walikuwa wamejipanga randomly kiasi kwamba usipokuwa makini, huwezi kuwatofautisha na wengine ambao walikuwa wanakwenda ku-shake hands naye kwa nia iliyo njema. Inaonyesha KAMA hawa shaker hands, wameanza kutumia sanitizer kwake, kama substitute yao baada ya Corona kuingia, maana haiwezekani tena ku-shake hands kwa sasa.
Mkuu si umesema kanisa ni jipya ameanza kuabudu ndani ya miaka miwili au sijakuelewaMhusika kwa sasa bado hajanipa ruhusa ya kutaja sehemu, ila amesema kuwa given time, kuna uwezekano mkubwa akaja akatoa ruhusa hiyo muda siyo mrefu kwa sababu alichoruhusu kiruke hapa, ni kama asilimia 0.01% tu ya kile alichowahi kushuhudia tangu aanze kuabudu kwenye nyumba hiyo ya Ibada. Amekuwa kimya tangu mwaka 2011, takribani miaka 9 sasa! Anataka kwanza awe na uhakika kuwa haya matukio yana maanisha kitu na si coincidences tu, kwa sababau wakati mwingine zinaweza kuwa ni coincidences tu za bahati mbaya ambazo hazina maana yoyote!
Hata yeye kichwani kwake ana swali kama hilo hilo unalouliza wewe hapa. Tuseme kwa mfano, watu WOTE wanaokuchukia wewe unawajua? Na kama tuseme unawajua, je sababu za wao kukuchukia nazo unazijua pia? Hili swali ulitakiwa uwaulize mahasimu wake, assuming ungekuwa unawajuaYeye ana nini mpaka afanyiwe vitu vyote hivyo?
Hebu acha kumsingizia jamaa yako,ni wewe mwenyewe kabisa
Amejisimulia ili aje kutusimuliaWatu wa namna ya huyo aliekusimulia hua siwapendi kweny maisha yangu. Watu wa kuchunguza chunguza kila nukta.
😃😃😃.. nimeshindwa kuisoma yote...ndefu sana kama nasoma bibleMambo mengi sijaelewa. Ila kuzima feni madhabahuni na wewe si muhudumu wa kanisa ni kiherehere.
Sent using Jamii Forums mobile app