Mkurugenzi wa Ubungo aomba radhi kwa kumtengua Meya Boniface Jacob

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,170
103,634
95698738_2970554933036179_4948569307366817792_n.jpg

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi.Beatrice Dominic amekiri kufanya makosa kwa kupokea barua ya watu waliojiita viongozi wa Chadema kata ya Ubungo na kuifanyia kazi bila kujiridhisha.

Barua hiyo ya kughushi iliyodai kumfutia uanachama wa Chadema Meya wa Manispaa hiyo @mayor_bonifacejacob ilidaiwa kuandikwa na Katibu wa zamani wa Kata hiyo Bw.Ashery Mlagwa lakini haikuwa kweli. Mkurugenzi ameomba radhi na kuahidi kuandika barua nyingine ya kubatilisha (nulify) barua yake ya awali.!

My Take
Mkurugenzi amekidhi vigezo vyote vya kupanda cheo. Humprey Polepole this madam is very very polential apewe ukatibu mkuu wa wizara kama sio ukurugenzi wa jiji
 
Tusidanganyane, hii mipango ilikuwa inajulikaka hadi jumba la mafichoni, tatizo wamechanga karata zao vibaya
 
Beatrice Dominic anajua alichokifanya sema tu movie yao na bashite imebuma.
i think you are right! hakukosea chochote bali mambo yamekwenda kombo somewhere , mission failed! sote makazini tunajua mipaka yote na sheria na taratibu za kazi!! for me BIG NO! amejua anachokifanya na ingependeza mno kama ingetiki tupate meya wa Kijani!
 
View attachment 1439521

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi.Beatrice Dominic amekiri kufanya makosa kwa kupokea barua ya watu waliojiita viongozi wa Chadema kata ya Ubungo na kuifanyia kazi bila kujiridhisha. Barua hiyo ya kughushi iliyodai kumfutia uanachama wa Chadema Meya wa Manispaa hiyo @mayor_bonifacejacob ilidaiwa kuandikwa na Katibu wa zamani wa Kata hiyo Bw.Ashery Mlagwa lakini haikuwa kweli. Mkurugenzi ameomba radhi na kuahidi kuandika barua nyingine ya kubatilisha (nulify) barua yake ya awali.!

My Take
Mkurugenzi amekidhi vigezo vyote vya kupanda cheo. Humprey Polepole this madam is very very polential apewe ukatibu mkuu wa wizara kama sio ukurugenzi wa jiji
huyu DAda ni KIHEREHERE sana, Mungu amuepushe na KOONA
 
Yaleyale ya maabara kuu ya Taifa. Huyu akipelekewa sampuli ya bia aipime covid 19 lazima majibu yatakuwa +ve.
 
Back
Top Bottom