Wanna tuache ubishi,Kuna mahali tumekosea.

makosa gani ,hakuna makosa,soma biblia ufunua.nyakati za mwisho ni nyakati hatari.matetemeko,njaa,tauni,mafuriko.vyote hivyo vimetabiriwa.hivyo kwa sisi tunaona hakuna geni.jitaidi kumtafuta Mungu muda haugandi
 
Haiwezezekani mafuriko,magonjwa,njaa, ukosefu wa ajira vyote vitupige.....
Natamani mheshimiwa atuongezee siku za maombi Kama yale ya mussa huko mlima Sinai.
NB mkiufuta pia fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good idea,nyoyo zetu zimekua ngumu sana lkn hakuna njia nyingine ya kuyakwepa hayo isipokua kumrudia mwenyezimungu kumtaka msamaha na kujinyenyekeza kwake tutubu toba iliyo kweli na tuyape mgongo maovu
 
makosa gani ,hakuna makosa,soma biblia ufunua.nyakati za mwisho ni nyakati hatari.matetemeko,njaa,tauni,mafuriko.vyote hivyo vimetabiriwa.hivyo kwa sisi tunaona hakuna geni.jitaidi kumtafuta Mungu muda haugandi
Hakuna makosa? Ushirikina,dhulma,uzinzi na mapenzi ya jinsia moja,ulevi,kamari....................
 
Good idea,nyoyo zetu zimekua ngumu sana lkn hakuna njia nyingine ya kuyakwepa hayo isipokua kumrudia mwenyezimungu kumtaka msamaha na kujinyenyekeza kwake tutubu toba iliyo kweli na tuyape mgongo maovu
Yeye ni mwingi wa rehema hughairi mabaya na kutenda mema... Uturehemu ee Mungu wetu. Kwa kuwa tumekosa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom