😀😀😀dah!ninaona toka aondoke mjomba Marcelo bado ni kama tuna wenge flani hivi lakupata mtu ambaye ana uwezo wakushambulia kwa uhakika yaan akawa kama kiungo mshambuliaji na mzuiaji...hawa waliopo kuna ambaye ni mzuri kupanda ila kukaba nakuusoma mchezo uwezo ni mdogo..ngoja tuone huyu Cucurella...
Mimi kwetu kilichopotea ni ile hari yakupambana na timu ikawa haina kiongozi ambaye ataleta ile hali yakuheshimiana...huyu jamaa anajua kujenga hiyo nakuondoa viburi..utakumbuka hata wakat anakuja msimu ulee tulikuwa na mastar wengi ila hatukuwa na timu ya ushindani na kila mtu alijiona ni...
Kuna Carvajal kuondoka...maana yake kile kizazi chetu cha dhahabu kimeisha chote,sasa Mou aje atutengenezee timu ya ushindani haswa...hawa hawa waliopo ni kuwa wanakosa mtu mkaksi mwenye kauli ya mwisho,timu kama ukoo wa kambale bhana hadi watu wanapigana aisee.
kimsingi tumezidiwa kimbinu na kiuwezo,plus ukishakuwa na wachezaji wazito uwanjan sasa ndio balaa...Ansensio ni kama anatalii humo ndani,haonekani yupo wapi na anafanya nini?yeye na Rudiger ni kama wana ugomvi..hakuna anayemtuma mwenzake,upande wa Garcia ndio kama kiberenge,mbio nyingi ila ni...
Wazee ile mechi ya jana na hata ile first leg imetuonyesha namna timu yetu haina balance kabisa,haswa eneo la kati na zaidi ni wakat wakushambuliwa..tuna viungo wakabaji average sana,very slow kwenye event nakufanya maamuzi na kimsingi ni kuwa eneo la kiungo ukitoa huyu dogo Guler ambaye anapika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.