Recent content by PICC'OLO

  1. P

    CCM mfukuzeni Jaji J.S.Warioba

    Mafuriko huwa yanakuja wakati mvua zinavyozidi kunyesha, tume zimeundwa TATU, na majibu yako Sawa, Wale watafiti wenzangu I mean Profs and Drs mko wp? Mbona Leo hii mnakataa vyeti vyenu? Mambo yaliyofanyiwa research mnayakataa AMA Kweli njaa haina adabu kwa mwanadamu, ukweli ni kwamba mafuriko...
  2. P

    Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

    Mtoa mada kanikera sana, hivi huna historia? Hata mambo ya wazi haoni? Kuna Prof. Maji marefu ANA elimu Gani na anaongoza akina nani? Ukirudi nyuma utawakuta Mzee Ruksa, Sumaye, Hayati Kawawa, Lukuvi n.k huyu jamaa anakaugonjwa cha akili kama sio chuk na ubaguzi, tunochangia mada unajua ELIMU...
  3. P

    Ph.D holders kuongozwa na form 6 failure - Shame on you!

    Mtoa mada huna jipya, pia sikatai Elimu ukiwa nayo itakufaa sana, anyway kumbuka JF is home of Great thinkers, tangu dunia imeumbwa mwanadamu amekuwa kiongozi tokea adamu mpaka leo, nnachotaka kusema ni kwamba,, NCHI/JAMII inaongozwa na wenye hekima tuu! Ndo maana jambo gumu likiwashinda wasomi...
  4. P

    Yaliyojiri: Mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya - Tanzania tunayoitaka

    Watu wanashindwa kuwa wakweli CCM wamechepuka njia kuu,, nachokiona mbele ni kusababisha ajali, hbr ndo hy.
  5. P

    Ndege hunaswa kwa miguu yake binadamu kwa mdomo wake"

    Thanx MKUU, we are waiting for you sir!
  6. P

    Hi guys natafuta mchumba wa kiume

    Du! Hii Kali huyu demu anaokena sio bomba jiepusheni na majanga, Mm mwenyewe natafuta mke na sifa ninazo na kuzidi alizotaja, mfano Mm ni mcha Mungu sijui yy VP kama yuko fiti kama Mm atumie wmajengo@Yahoo.com.
  7. P

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Jamani rasmu msingi wake, ulikusanya maoni ya walio wachache kuwakilisha walio wengi Vivyo hivyo Bunge la katiba ni la wachache kutuseme tulio wengi, tume ya katiba ilikuwa sahihi wasitutanie, kama tume inatoa maoni yake, basi tume ya operesheni ya tokomeza Majangili haikuwa sahihi na...
  8. P

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Ndg zangu, iko hivi, alichokipanga Mungu lazima kitatimia, ninachoona hapa haya mambo ya Muungano yanakula akili za Watanzania kama Yale ya Babu WA loliondo, Mwalimu alituachia fikra nyingi Leo hii ukiuliza unaonekana mchokozi, hii sio bure Mwenyezi Mungu kuna jambo ametuwekea mbele ili...
  9. P

    Wasabato ujumbe wenu huu hapa

    Ni ukweli usipingika, wapo watu waliojaa roho mtakatifu na wengine wanaigiza wana roho yaani COMEDIANS hivyo roho hamwongozi mtu kwenye dhambi hata siku moja, watu wemegeuza dini kuwa mtaji, Mm sio msabato pia wanakosea kutompa nafasi roho ktk maisha yao ili anene, pia wasabato wako sahihi kwa...
  10. P

    Chadema acheni wivu ridhiwani ndiyo kashakuwa mbunge na baraza la mawaziri likivunjwa anapewa unaibu

    Riz ameshinda kwa title ya Mzee, Hana uwezo WA uongozi, tuliosoma nae tunamfahamu, subiri, utakuja shuhudia madudu, the boy is not politician, he is a business oriented!
  11. P

    Zitto Kabwe ampinga Rais Kikwete baada ya hotuba ya kufunga Bunge!!!

    Muungano ndio chanzo cha MATATIZO ni Nani aliyefanya tafiti kuwa bila muungano Tanganyika itakufa? Nchi ndogo kama Rwanda na Burundi zinajitegemea sembuse ss? Nawaambieni hakuna Nchi kusini mwa Afrika ambayo ina rasilimalI nyingi kushinda Tanganyika, tuache uoga tukomae na mipango na usimamizi...
  12. P

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Jk amesema hayo ni maoni yake, Mm na Ww pia tuna maoni yetu, huu ni mtihani, na ktk mtihani kuna kufeli na kufaulu, hakuna nutral, pengine ktk hotuba yake atakuwa amefeli kwa kuwa ametumia muda mwingi ktk kushinikiza serkali mbili, wakati Tz tangu uhuru watu watu hawajawahi kufeli kwa idadi...
  13. P

    Dr. Slaa kuzindua kampeni za ubunge Chalinze leo Jumapili tarehe 16.03.2014

    Dunia iliumbwa ili tuitawale na kufanya mabadiliko ya Kweli ndio maana tukapewa akili za kujua mema na mabaya pia kusoma nyakati, America walifanya maamuzi magumu kumchagua mtu mweusi BARACK OBAMA kwa tija, huko ndiko binadamu anapoonekana ANA fikiria na sio kukariri, CCM haina lolote zaidi ya...
  14. P

    Niko hoi..huyu dada mkuya mh

    Hivi wana JF kwa nn hizi mada za mapenzi mnaziruhusu humu, remember this is home of great thinkers, hivi face book, badoo instagram sio ndio mahali pake? Plz tuheshimu jukwaa letu.
  15. P

    Nataka kufuta kabisa akaunti ya facebook

    Hata Mm pia mtakuwa mmenisaidia wandugu, lkn hii link ya permanent Facebook account deletion unaingilia au unatype wp? Google au wp wandugu?
Back
Top Bottom