Recent content by PHR

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Naomba msaada ndugu zangu hata wa kibarua chochote kwa siku nipate fedha ya kula
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Wakuu bado naomba msaada wa kazi yoyote kutoka kwenu, hali yangu siyo nzuriii
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Asante sana mkuu natuma maombi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Nashukuru Kiongozi Mungu akubariki
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Naombeni msaada wenu ndugu zangu na Mungu awabariki
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Asante sanaa ndugu yangu Mungu akubariki
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Asante sana ndugu yangu, nitafanyia kazi ushauri wako na Mungu akubariki
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Mkuu hela yenyewe nilikuwa napata ya kula tu, na ndio kwanza nilikuwa naanza shuhuli zangu sijafika mbali chombo kimeharibika, naomba msaada wako ndugu yangu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Asante sana ndugu yangu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Hatimaye chama kutua RS Berkane, kazi kwa Bwalya sasa kutengeneza ufalme Simba SC
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

    Nimesoma UDSM - COICT
  14. P

    JamiiForums Tanzania Seven reasons why some of Degree holder are Poor

    Acha hasira kwa watu wenye degree zao,, pambana na wewe upate.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mlevi kaokota kioo

    😂😂
Back
Top Bottom