Recent content by philltaya

  1. philltaya

    Morogoro: Kundi la tembo lavamia makazi na mashamba na kufanya uharibifu tena

    Makundi ya Tembo yamevamia katika baadhi ya vijiji vya kata ya Lubungo wilayani Mvomero kijiji cha vianzi kitongoji cha Menge mkoani Morogoro na kuharibu mazao kwa mara nyingine tena. Mmoja wa waathiriwa na Tembo hao Bwn Jeremiah Tayari na Bwan Mwombeki wamesena hii ni mara ya pili sasa kutokea...
  2. philltaya

    Sakata la mwanamke aliyefanyiwa ukatili na wafugaji

    Mkuu wa wilaya ya Mvomero nashukuru kwa kulifuatilia swala hilo la ukatili alilofanyiwa mama Fatuma Hasani Diawi, lakini katika swala hilo polisi wanataka kujenga kitu mpaka sasa, baada ya kulifikisha hilo swala mahakamani, wanamtaarifu mlalamikaji kuwa taarifa zote atapata kutoka kwa mtendaji...
  3. philltaya

    Serikali inapata kigugumizi gani juu ya migogoro ya wakulima na wafugaji?

    Nitashukuru pia kama nitapata namba maana tunahitaji msaada zaidi juu ya swala hilo,ukiangalia kwa sura ya juu unaweza kujua hali ni shwari lkn kiukweli wakulima tunateseka
  4. philltaya

    Serikali inapata kigugumizi gani juu ya migogoro ya wakulima na wafugaji?

    Najiuliza hivi serikali inajua kinachotokea Morogoro kupigwa kwa wakulima wawili na wafugaji kwa vijiji viwili tofauti mmoja Doma na mwingine Menge/vianzi wilaya ya mvomero?wafugaji nguvu ya kufanya hivyo wanaitoa wapi? Kuna mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tafadhari tupieni sana jicho wilaya ya...
  5. philltaya

    Serikali inakigugumizi gani juu ya migogoro ya wakulima na wafugaji, Morogoro

    Najiuliza hivi serikali inajua kinachotokea Morogoro kupigwa kwa wakulima wawili na wafugaji kwa vijiji viwili tofauti mmoja Doma na mwingine Menge/Vianzi wilaya ya Mvomero? Wafugaji nguvu ya kufanya hivyo wanaitoa wapi? Kuna mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tafadhari tupieni sana jicho wilaya...
  6. philltaya

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    si kweli toa ushahidi kuwa baada ya kumzaa yesu alikuwa na watoto wengine hizo ni propaganda tu yeye alibaki na ubikira wake,wap katika bible panapoonesha alizaa tena!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. philltaya

    Kero yangu

    Mh.Raisi JPM bado hujaifikia kero yangu,hakuna utendaji pasipo maagizo yako ya moja kwa moja kero yangu ni wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima mkoani morogoro wilaya ya mvomero kijiji cha menge kata ya mzumbe kitongoji cha vianzi.barua ya malalamiko imepelekwa kwa mkuu wa wilaya...
  8. philltaya

    Unakumbuka nini miaka ya 90's kushuka chini?

    Jamaa uck walikuwa wanakuja na fatuma moja tu mlango kule
  9. philltaya

    Natafuta mbegu za mihogo

    Ndg zangu wanajopo mimi ni mkulima natafuta njia ya kuwasiliana na wale wachina wanaotoa mbegu ya mihogo yeyote anayejua njia ya kuwasiliana nao tafadhali anijuze haraka
  10. philltaya

    Wafugaji wilaya ya Mvomero wako juu ya sheria!!?

    Kuna ubabaishaiji kuanzia serikal ya kijiji,polisi,na na ofisi ya mkuu wa wilaya
  11. philltaya

    Wafugaji wilaya ya Mvomero wako juu ya sheria!!?

    Mh. Mkuu wa Wilaya mnatuhamasisha kulima ili kuepuka njaa na kujipatia kipato lakini hakuna haki kwa mkulima ila kinachoonekana mfugaji ndiyo mwenye haki. Au sheria inamsimamia mfugaji pekee? Wanapata wapi ujasili wa kuingiza mifugo kwenye shamba la mkulima, hiko kiburi anatoa wapi? Kama...
  12. philltaya

    Vurugu za wafugaji Morogoro, mfupa ulioishinda serikali

    Sio kuwa hakuna mwarobaini,hapana ila kuna jamaa wanatumia njii hii kupiga dili coz hata watendaji wa vijiji wanajua hilo,na wanapiga dili wakati watu wanakufa na wengine wanaumia hii maana yake nn?na hasa naumia pale ninapoona mwenyekiti wa kijiji cha mafulu wilaya mvomero amesingiziwa mwizi...
  13. philltaya

    Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Quraan 6:14 dhima yake amekuwa muislamu wa kwanza ulimwengu katika viumbe,hacha kufafanua uongo
Back
Top Bottom