Kero yangu

philltaya

Member
Sep 5, 2015
53
95
Mh.Raisi JPM bado hujaifikia kero yangu,hakuna utendaji pasipo maagizo yako ya moja kwa moja kero yangu ni wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima mkoani morogoro wilaya ya mvomero kijiji cha menge kata ya mzumbe kitongoji cha vianzi.barua ya malalamiko imepelekwa kwa mkuu wa wilaya mvomero na mkuu wa mkoa lakini hakuna anayefuatilia wala kutusikiliza,tafadhar mh.Ifikie kero yetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom