Hivi karibuni wafugaji mkoani Morogoro wamefikia hatua ya kuachia mifugo kuzurura hadi kwenye makazi ya watu mjini.Taharuki hii insonyesha dhahiri shahiri kuwa serikali imeshindwa kupatia ufumbuzi wa kudumu changamoto hii ya wafugaji.
Imekuwa n kawaida kwa Mkoa wa Morogoro kuchukua nafasi katika vyombo vya habari juu ya mtifuano wa wakulima na wafugaji kugombea maeneo ya kufanyia shughuli zao.Tukiweka kumbukumbu sawa Mkuu wa Mkoa ailiyepita ailitumbuliwa kwasababu ya kukithiri kwa migogoro hii bila ufumbuzi kwa muda mrefu
Swali ni Je,Serikali imekosa kabisa mwarobaini kutatua aibu hii?
Athari za hali hii kukosa ufumbuzi ni pamoja na kukosekana kwa amani ikiwamo uharibifu wa Mali na vifo.Sitaki kuamini kuwa serikali ya Mkoa imeshindwa mm naamini serikali ikiamua hakuna litakaloshindikana.Vinginevyo Serikali ya Mkoa ijitathmini