Recent content by Philip Dominick

  1. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Connects dots hapa

    Edit uzi wako kabla hawajaja
  2. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    Na hapo wote ni maofisa tofauti huyo kolokolo ni ofisa mteule
  3. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    Ni WO I ndo kieefu chake warrant officer au kolokolo waswahili tumezoea Hapo kolokolo ana mshahara mkubwa kuliko wa nyota 1
  4. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    Peleka pumba zako huko chaguzi zilizofanyika.zimefanyika huku daftari la wapiga kura likiwa halijaboreshwa Wewe unaesema asilomia 85 kwa takwimu zipi au.ndo.mchumia tumbo kama wana ccm wenzio
  5. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Baadhi ya picha za ajali
  6. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Nimepewa taarifa hapa basi la kampuni ya jordan imedondoka mda si mrefu eneo la nzega kilomita 6 kutoka hapo likitokea mwanza kuelekea moshi zaidi ya watu 8 wamepoteza maisha Kwa yoyote mwenye taarifa zaidi kuhusu chanzo cha ajali na majeruhi tupatieni taarifa
  7. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

    Watakuja kwa kasi kukujibu we subiri tu
  8. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania CCM wafanya kikao kikubwa makambako kumuenzi ZZK

    Rose mayemba kuna uzi ulianzishwa hapa umechepuka na kwenda act hizo habari ukweli wake ni ipi kamanda
  9. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania UKAWA PAWAKA: Mazungumzo ya Siri Yakijadili Nafasi ya Urais Yanaswa!

    Habari yenyewe ni tetesi
  10. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Kuna kitu kweli kaandika fb nacho kina sura mbili Ngoja tusubiri masaa 72 yapite tutajua
  11. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Mwalimu usiekielewa Shida kweli
  12. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Atoa Madai Mapya Ya Kuongezwa Mshahara - CHADEMA

    Mtoa mada.bila shaka utakuwa ni kimada wa dr.unamsaidia kazi.mshumbusi
  13. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

    Mo saidi anajua mengi sana ya wakati ule hata mi namsubiri akuje
  14. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

    Kumbe alikuwa le mutuz
  15. Philip Dominick

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akimbia Mkutano Baada ya Wananchi Kumtuhumu Kuuza Ardhi

    Sara dumba alikuwa ni mwana hbari rtd siku.hizi.ni mkuu wa wilaya kumbe Hongera zake
Back
Top Bottom