Tangu michakato ya uchaguzi octoba mwakajana hadi leo hii nikiwa chini ya raisi magufuli nimejifunza mengi na naendelea kujifunza mengi Zaidi.
Ninayoyaona mazuri ya magufuli yamekuwa yakitafsriwa vibaya na kutumiwa vibaya na baadhi ya watu wa ngazi nyingine za chini na watu wa kawaida,Binafsi...
Kwa uelewa na mtazamo wangu kw ujumla ninaona akina majaliwa wanafanya kazi nzuri tu kuudhihirishia umma kuwa kumekuwa na ufisadi wa kiwango kisichosemekana.mtu wa kawaida ambaye hata kupata sh.10000 kwa wiki kwake ni ndoto kimawazo lazima atatofautiana na mtu mwenye kipato au aliyeajiriwa.Kwa...
Serikali inapopambana na tatizo la ombaomba tunaiomba isikamate tu wale ambao hawana wazaz au wanaozurura na kuomba.polisi nao wawe kwenye kundi la ombaomba.haiwezekani mishahara yao wajengee nyumba na kununulia magari halafu sisi tuwe marupurupu yao.kuna siku mambo yakibadilika watakuja juta
Swali langu ni mojà tu fupi,ni watanzania wangapi wana ufahamu mzuri kuhusu taasisi zilizoytajwa hapo juu.mim nina uhakika kuwa hata baadhi ya wakazi wa tegeta hawakujua uwepo wa escrow mpaka hali ya hewa ilipochafuk ktik akunti hyo.pointi yangu ni kuwa watazania wengi hawatakujua na pengne bado...
Wadau hoja yangu kwa watumiaji wa visimbuzi vya azamu.mnalichukuuliaje suala la gharama za malipo ya mwezi kupandishwa bila kutathmini kupanda au kushuka kwa gharama ya maisha ya watz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.