Tangu michakato ya uchaguzi octoba mwakajana hadi leo hii nikiwa chini ya raisi magufuli nimejifunza mengi na naendelea kujifunza mengi Zaidi.
Ninayoyaona mazuri ya magufuli yamekuwa yakitafsriwa vibaya na kutumiwa vibaya na baadhi ya watu wa ngazi nyingine za chini na watu wa kawaida,Binafsi naona jitihada na mikakati ya rais magufuli na waziri majaliwa,ninaunga mkono tumbuatumbua majipu hasa majipu ambayo siyo ya kutengeneza.
Sasas basi tumbuatumbua ya magufuli na kaulimbiu ya hapa kazi tu imekuwa ni tatizo kwa watu wengine ambao wamehitilafiana kwa mambo yao binafsi kwa sababu ya chuki,majungu,kuzidiana kipato,au mambo ya mahusiano.
Basi hilo likitokea,utajikuta umesambaziwa skendo chafu inayokufanya ugeuke jipu ghfla hata kama ulikuwa msafi kiasi gani.
Na tatizo la watanzania wengi huamini sana habari ya kuambiwa Zaidi.kwa hyo wakishakupikia majungu tayari kwa nia ya ukukomoa basi utajikuta taarifa zako zimeshaenea kwa viongozi wa serikali wenye mamlaka na kwa hiyo tayari unakuwa matatani.
Nilitamani niseme kuwa tue makini sana na tuzingatie sana watu tunaokuwa nao wasiofahamu magufuli anafanya nini na kwa sababu gani vinginevyo utajikuta unapewa skendo kama za ubakaji,wizi,ufisadi,zitakazokupelekea pengine hata kupoteza kazi.
Mwisho namwomba mungu asimamie watanzania wote ili wote watendewe haki kama ambavyo magufuli angependa iwe.Waepushwe na uonevu unaofanywa na watu wa ngazi nyingine kama vile watendaji wa kata,wakuu wa shule,na wengineo wengi wenye mamlaka kwa sababu tu ya migogoro binafsi.