Recent content by Phaul

  1. P

    JamiiForums Tanzania Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

    Yap umesomeka, sio uzi huu tu yaani JF nzima hata nje huko. Ukishakuwa na elimu na upeo wa kutosha wala hubishani. Wako watu makini wengi tu na wako vizuri, hao wapuuzi comments zao na lugha vinawapambanua, hawasumbui bofya ignore tu wasikujazie nzi siku nyingine.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

    Sawa mkuu, sasa kwa maana hiyo Putin na watalaam wake wamegundua inatibu cancer aina zote au aina fulani sababu nimeona kule RT Margarita Simonyan mhariri mkuu wa gazeti maarufu kule Urusi amepatwa na ugonjwa huo, huenda akapona ni bingwa wa propaganda kukandia USA na kusifia Urusi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

    We mkali nakujua
  4. P

    JamiiForums Tanzania Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

    Pia tukumbuke kuwa urrusi waligundua dawa ya coviid lakini putin alidungwa kinga ya covid kisisiri kiujanja na mpaka kesho hawajasema alipata kinga, hawakuionyesha.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Gaza kituogopeshe Waafrika. Wamagharibi wakiamua kutuua wote ili watwae ardhi na rasilimali hawashindwi!

    We mwongo. Kabla October 7 mbona hii hali haikuwepo.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Uchaguzi huu kweli mgumu naona kutakuwa na giza kabisa, come october no internet, or internet mwendo wa konokono. Hata Putin naona hii shida anayo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Ushauri wako ni mzuri, sio kwamba watu hawataki ila matapeli wanaotumia simu na mitandao kuibia watu hawakamatwi pamoja na kutoa ripoti,hata simu zenye kusajiliwa Imei hakuna msaada wowote toka hao TCRA.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 7 wanaume hawayapendi

    Sawa, ila sasa mkuu hayo yote uliongea inategemea sana uchumi wa huyo mwanamume ukoje, ambaye mimi niko kwenye kundi hilo namshukuru sana Mungu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pes Mix by YAS

    Yaani pale uliposajili ndio mchezo unaanzia hapo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    Du pole bro, ila somo safi sana.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Waislamu kuweni wavumilivu

    Sawa, ila mwanzilishi wa mihadhara ni Ustaadh Ngariba, hatunae tena hapa duniani , alifanya mihadhara muda si mrefu akafa, naona wengi hawamjui, Mazinge alikuja baadae, hata mimi niliwai kuongea nae pale Mnazo mmoja alikuwa yupo yupo tu ila muongeaji mzuri.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Ukweli hiyo ni roho ya uzinzi hata ukiolewa, mmeo asipokuwepo muda fulani,utaangukia huko huko, inakutuma ufanye hiyo kitu baada ya kipindi fulani uwe umeolewa au la. Na wewe mwenyewe unapenda xes, sasa dhambi inakomaa. Wengi wanatatizo hilo. Jinsi ya kutoka huko ni wewe mwenyewe kuamua na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    Hallo wanajamii baada ya ku comment kwenye uzi huu mudz kidogo tu nimekuta ngozi nyeupe ya snake ambae nimetafuta sana sijamuona, mara nyingi huku wanapatikama weusi wembamba warefu. Sasa kama kuna mtu anajua nifanye nini ili aone humu hamufai ninulisheni jamani , kuna msemo usidharau udogo wa...
Back
Top Bottom