Recent content by Pharm D

  1. Pharm D

    Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Exactly, umenena kwa niaba ya wengi na mimi nimo katika huo mkumbo!
  2. Pharm D

    BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Mkuu Oct Tunatiki, toa maelezo kidogo kwa faida ya wengi
  3. Pharm D

    BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
  4. Pharm D

    Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

    Haya matibabu Yako very empirical,unauhakika aliemtibu ni daktari waa mifupa au mwanafunzi wa field hapo hospitali!?
  5. Pharm D

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Watu wanatembea na maradhi ila mara nying inakua ni siri kati yao na watu wao wa karibu, kwa mtu baki unaweza kudhani ni ghafla kumbe mtu ni mgonjwa miaka na miaka anahesabiwa siku tuuu
  6. Pharm D

    Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

    Mkuu hizo zote ni harakat tu za maisha ndio zimempelekea kufanya kazi bar, ila kimsingi kama ni wa kutulia atatulia tu kama umemuelewa weka mzigo ndani jilie vinono
  7. Pharm D

    Simba hawakustahili kulalamikia penalty

    Ngoja waje utapopolewa leo hutaamin
  8. Pharm D

    Urgently: Naombeni muongozo wa kufuata baada ya kupoteza vyeti vya taaluma

    Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates... Vinahitajika na muajiri
  9. Pharm D

    TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa inasema RAS na dereva wake wote wamefariki kwnye ajali lkn taarifa zote za ziada zinatoa maelezo kumhusu RAS peke yake hata RIP za wasomaji zinamlenga RAS pekee, najiuliza tu huyu dereva na familia yake hawaihitaji hizo RIP na faraja kwa kuondokewa na mpendwa wao au sio kipaumbele...
  10. Pharm D

    Natamani Katibu Mkuu wa CCM awe ni Mwanasayansi, Prof Janabi itapendeza zaidi!

    Huyo atapiga marufuku ulaji wa madikodiko kitu ambacho anakipiga vita kwa nguvu zake zote... Tutakula matambele mpka tuwe wa kijani... hatuhitaji wasomi kama huamini muulize Lipumba!
  11. Pharm D

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Tunajadili mambo ya maana wengine wanawaza mizagamuo hii nchi tuna baadhi ya watu ni[emoji90] kabisa
  12. Pharm D

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Kuna watu wanawenge sana mbona kwny msiba wa Membe ACT hawakulalamika?
  13. Pharm D

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Hivi nyie mambwiga mliskiliza salam za shukran kwa niaba ya ukoo kutoka kwa Fred pale karimjee? Mbona alimtaja kwa heshma zote hamkuskiliza? Kilichotokea kwny richmond ni ajali ya kisiasa tu! Na kuhusu jina lake kukatwa 2015 yale hayakua maamuzi ya mzee Kikwete peke yake, kamati ya viongozi wa...
Back
Top Bottom