Aisee we jamaa acha kabisa hii kitu kama ni Kweli, acha kabisa labda kama huna mpango wa kuoa maishani ... Karma ( i wonder if he real exist)
but he is so strong.... "What goes around comes around"
(This is his favourite Quote)
One more thing....
Kama unaweza kuukanyaga moto bila...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hiyo wewe ulikaa huko fb ulivyo komaa ndio ukaja huku??
Kama hujaelewa alicho kimaanisha unadhani utakua umekomaa nini mwenzetu??
Mr. Man just do me a huge favor and teach me... what is this thing you call 'fb'?? For I'm craving for maturity
If...
Number 5.
You have just nailed it..
Hata Mungu amezuia au ameweka limit au mipaka kwa Mwanadamu kumfaham... Sasa cha kushangaza ni hapo ambapo the limited mind created by God trying to understand it's creator- The unlimited all powerful spirit...
Kweli ndugu zangu kwa mijadala hii ni sawa...
Yani watanzania bhana!
Why do you always make a big deal out of nothing??
Kitu akikifanya mtu maarufu hata kama hakikua na maana mtakitafutia maana.
Hii ipo hata kwenye kazi mbovu za sanaa za wasanii maarufu
Ili mradi ameimba Fulani basi hata kama hakina maana au kina maana mbaya utaki...
Ndugu sisi ni watoto wa wanyonge tuliorudishwa vikosi vya JKT Tanzania nzima -- tupo vijana zaidi ya 1600 -- wazazi wetu ni masikini na wanyonge , hawana sauti yoyote serikalini na wengine walshatangulia mbele ya haki -- hivyo baada ya MUNGU tunaamini nyie viongozi mnaweza kutusaidia -- shida...
Nimeikuta mahali:-
WARAKA WA VIJANA OP.KIKWETE KWA VIONGOZI NA WAKUU WA SERIKALI.
Ndg. Sisi ni vijana wa op.kikwete kama tulivyo tanabaisha hapo juu!! Tumefanya kazi ya jkt na kulitumikia jeshi la kujenga Taifa takribani miaka 3. Tumeshiriki katika operation mbali mbali ndani ya nchi yetu kama...
Naona umeamua ku- settle this once and for all [emoji2] [emoji2]
Hizi Blah Blah zako haziwezi kumaliza njaa iliyoko Kenya wala Tanzania you're not settling anything, kama umekosa la kupost ukae kimya
Maana iko wazi kua njaa iko Pande zote, badala ya kuja na suluhisho la kumaliza tatizo unaleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.