Recent content by Petrus Peter

  1. P

    Hali ya mpakani Namanga ikoje kwa sasa?

    Wakuu kwema? Naomba kujua hali ya Mpaka wa Namanga, Tanzania na Kenya, kwa sasa ikoje? Utaratibu umekaaje, ili niweze kupita kwa Halali bila njia za panya inabidi niwe na documents gani. Ahsanteni
  2. P

    Post a word starting with the last letter of the previous word

    Exit Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

    Kwanza Mungu hajakuandikia kutokukupa, amesema ombeni nanyi mtapewa, sharti ni kuomba, ukiomba nawe utapewa, usipopewa kwa wakati unaotaka wewe subiri, jua bado anakuandalia kitu chako ulichoomba, na Mungu kwa wema wake kitu unachoomba kama hakikufai hakupi, instead atakupa kitu ambacho...
  4. P

    Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

    Hii inakutosha sina haja ya kuandika ingine, zingatia haya sana utafaulu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    Nimeingizwa mkenge na mwanamke ushauri tafadhari!

    Daaah polee mzee hata uwe mwanaume vipi yupo mwanaume atakushurutishaga tu hawa viumbe ni wa aina yake, Mwambie huyo rafiki ake alirlodi video ya live insta live au fb amuotee akiwa hajaweka matambara hayo ili uprove, Picha atakumia hata za zamani, Ila usiseme uongo nyumbani, Na kma...
  6. P

    Mke huyu ukiwa nae usithubutu kumuudhi maana ni wachache sana!

    Msubiri nizae Wa kwangu nitamlea hivyo, ila Kwa sasa hivi hao viumbe HAWAPO mara ya mwisho walionekana onekana miaka ya 90 hivi sijui waili ilikua[emoji12] [emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. P

    This lady, I need your advise

    Ukisoma kama vile unaongea kiswahili ya Kenya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    Bila kusubiri akanyage ardhi ya nyumbani huko aliko Lissu atuombe radhi watanzania

    [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Daah Hawa jamaa wametuweza Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    Arusha ni jiji kubwa lakini usafiri wake wa umma ni wa hovyo

    Hahaha humu ndani kuna watu waajabu ajabu yani , Ila kiukweli usafiri chuga sio mzuri asee, mji mkubwa sana ukiwa nje ya Arusha ukiingia ndani ni pa kawaida sana. Nasema hayo mm ni mtoto Wa chuga sa hivi nko Songea kikazi haka kamji kuna stendi moja poa sanaa,, Good news stand ya...
  11. P

    Je anaweza kuomba kozi gani ya afya na akakubaliwa kwa alama hizi?

    Kozi za kilimo na mifugo anapokelewa fresh no kozi nzuri mnoo Pia Human Nutrition specifically chuo cha kilimo Ilonga wanatoa hiyo lakini anaanzia Certificate Me nimetaja ambazo nzurii nazozielewa Kwa sasa ma ambazo hazinaga time limit miaka nenda rudi watu watalima watu watakula, ila kozi...
  12. P

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne kombi ya science atapata kweli?

    CBG Human Nutrion atasoma ni kozi moja poa sana hata kozi za kilimo naunga mkono na miguu ziko poa Afya hizo ataishia kufanya kazi za watu labda afungue hospital yake lakini hapo ameshafanya kazi za watu haswaa, Shule za private PCB atasoma fresh tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    Hujambo nyote, naomba usaidizi, naomba kuelekezwa kwa babu wa kweli either kutoka pemba, Zanzibar, Tanga, Moshi au sumbawanga.

    We are dealing with the one ametoa post alafu afadhali amesema anajua Mungu yupo, wewe unataka tu kutusumbua tu hapa you better keep quiet kwa sababu uko opp unataka kutuletea mada ya Mungu yupo au hayupo wakati haihusiani na post, Afu pole sana uko gizani kuamini Mungu hayupo nakusikitikia...
  14. P

    Hujambo nyote, naomba usaidizi, naomba kuelekezwa kwa babu wa kweli either kutoka pemba, Zanzibar, Tanga, Moshi au sumbawanga.

    Yaani nimesikitika haswaa, Mnamkataaa Mungu live live alafu mnamtafuta shetani live live yani, it's like unakataa uzima unatafuta kifoo, God is real usimpinge Mungu, unayoyapitia ni madogo sana kuliko Mungu anaekupa pumzi ya uzima right now, usijifariji next time utatafuta njia ya Mungu sa hivi...
Back
Top Bottom