Hali ya mpakani Namanga ikoje kwa sasa?

Petrus Peter

Member
Oct 24, 2018
17
15
Wakuu kwema?

Naomba kujua hali ya Mpaka wa Namanga, Tanzania na Kenya, kwa sasa ikoje? Utaratibu umekaaje, ili niweze kupita kwa Halali bila njia za panya inabidi niwe na documents gani.

Ahsanteni
 
Mi nachojua kuna dude la KLM linatua na kushusha watalii kibao pale KIA sa hii
 
Back
Top Bottom