Recent content by Petronfrancis

  1. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu napataje vifurushi hivi angalau nipunguze maumivu ya mabando
  2. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Natafuta bingwa wa draft

    Njoo Kongowe Kibaha utafungwa mpaka ukimbie
  3. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nahitaji wimbo wa marijani rajabu uitwao Pendo sio kulazimishana
  4. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

    Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
  5. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Niulize jambo lolote kuhusu mziki wa Mchiriku/Mnanda

    Tupia hapa mkuu
  6. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch, Tigo Nivushe, Nipige Tafu, M-Pawa, Songesha. Je, mimi ni nani?

    Tala wamesitisha huduma kwa hapa Tanzania
  7. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

    Acheni tu hata iwe vipi majibu lazims tutayapata
  8. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Movie zilizowahi kutikisa kwenye ulimwengu wa movie

    Kuna movie ya Chuck Norris inaitwa SILENT RAGE kwa aliyonayo naomba link wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Naitafuta hii movie

    Ungepata cd halafu unaicopy ktk pc inakuwa poa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopakua muvi kisha wanauza, bando gani au chanzo gani cha intaneti huwa wanatumia?

    wakuu mimi nahitaji movie iitwayo Terminator 1984 kwa mwenye nayo naomba anipe link yake nami niipate Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Wakuu nahitaji movie zifuatazo Terminator 1984 Naked weapon True Lies Machete (2010) Kwa aliyenazo naomba anitumie link yake ili nami nizipate hizo movie wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Samahani mkuu sikufanikiwa kuipata kanda watoto wameipoteza imebaki kasha tu nimesikitika sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Petronfrancis

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    Acha na hizi nizitafute Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom