Hivi special number inagharimu bei gani Halotel?

Haina gharama yoyote zaidi ya gharama za kawaida za kusajili line. Nenda kwenye duka la mtandao husika sio kwa wale wanaosajili mitaani. Waeleze shida yako. Wao watangaalia kwenye system kama namba unayoitaka ipo utasajiliwa lakini pia inawezakana ukapata mfanano wa namba kadhaa na sio zote.
Mi mtumiaji wa
vodacom ****566445
Halotel ****766445
Tigo ****656445
 
Wana gharama hatari, mi nilishaenda hapo kariakoo wanakwambia bei ya chini 10,000 na kuendelea, yani kama ipo kwenye system ni 10,000 kama haipo itakugharimu hata 20,000 na kuendelea
 
๐“œ๐“ฒ ๐“ท๐“ฒ๐“ถ๐“ฎ๐”๐“ฒ๐“น๐“ช๐“ฝ๐“ช ๐“ฑ๐“ฒ๐”ƒ๐“ธ ๐“ท๐“ช๐“ถ๐“ซ๐“ช ๐”ƒ๐“ช๐“ท๐“ฐ๐“พ ๐”ƒ๐“ฎ๐“ท๐”‚๐“ฎ ๐“พ๐“ฏ๐“ช๐“ท๐“ช๐“ท๐“ธ ๐“ถ๐”€๐“ฒ๐“ผ๐“ฑ๐“ธ๐“ท๐“ฒ....๐“ด๐”€๐“ช ๐“ซ๐“ฎ๐“ฒ ๐”‚๐“ช ๐“ด๐“ช๐”€๐“ช๐“ฒ๐“ญ๐“ช ๐”‚๐“ช ๐“ด๐“พ๐“ผ๐“ช๐“ณ๐“ฒ๐“ต๐“ฒ ๐“ต๐“ฒ๐“ท๐“ฎ
 
Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457

Nataka nipate laini ya halotel ****377457

Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa halotel na inagharimu kias gani ahsanten
Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
 
Sio kweli mimi nimetengeneza special number mwezi ulio pita tu kwa 1000. Kikubwa hizo digits 6 za mwisho zikiwa kwenye system tu na ikawa haina mtumiaji kazi inakuwa imeisha.
 
Hao Halotel laini zao wanafanya biashara ni lazima upigwe hela ndefu. Nilienda pale halotel kariakoo nikataka kubadili laini yangu ya 3g ili nipewe 4g wakataka 3000 nikatimka zangu nimebaki na 3g mpaka leo. Ila pale tigo msimbazi nimebadilishiwa laini ya tigo 3g kwenda 4g bure kabisa.
Hao, wezi.
Nenda dukani kwao..!
 
Kuna namba kuzikuta kwenye system ni ishu hadi uwe na connection.

Mfano 06**333 777
Na. 06** 777733

Kuzipata kwa jero au buku ni ngumu
 
Gharama za kawaida za kusajili laini...mimi mwaka jana nimesajili yangu tena wakala mwenyewe ndio alinitoa suggestion mimi hata sikuwa na habari
 
Back
Top Bottom