Habari wana JF,
Binafisi nakereka na wimbi kubwa la hawa matapeli wa mtandao wanaosambaza SMS za uganga bila kujua wanaomtumia ana wadhifu gani katika jamii na simu yake inashikwa na akina nani.
Nimekuwa nipokea SMS kwa siku zisizopungua 5-10 kwa siku ambazo ni kero na zinadhalilisha hasa pale...
Huu wizi ni mzuri sana.....hata hapa bongo unahitajika ili kuokoa maisha ya wenzetu basa walinzi.
Hawa jamaa wakija bongo wanaweza chukua hela za kwenye ATM kama wanaingia kwao, eti unakuta ATM imejitenga harafu ina mlango kwa nyuma na walinzi pembeni huku wamelala shenzi kweli.
Mkuu maliza...
Mimi sheria ilipita kushoto napenda kujua kazi za watu wafuatao
1. Hakimu
2. Judge
3. Wakiri

Pia nijue hizi mahakama kiundani zaidi
1. Mahakama ya mwanzo na inauwezo gani.
2. Mahakama ya wilaya na uwezo wake
3.mahakama ya rufaa na uwezo wake
4...
Mimi sheria ilipita kushoto napenda kujua kazi za watu wafuatao
1. Hakimu
2. Judge
3. Wakiri
Pia nijue hizi mahakama kiundani zaidi
1. Mahakama ya mwanzo na inauwezo gani.
2. Mahakama ya wilaya na uwezo wake
3.mahakama ya rufaa na uwezo wake
4. Mahakama ya aridhi na si mahakama zingine
5...
Vip wale madiwani Wa Arusha. Nasari alisema anaushahidi nikashangaa Takukuru wanajibu eti hafanyi kazi kwa bwebwe na wala wasifundishwe kazi. Hii hatari!
Kwa shule yangu ndogo severe malaria ndio complicated malaria. Nimetoa reference yangu ya chuo- muhimbili hapo juu. Sijawahi ona tofauti. Ni sawa na kusema imminent eclampsia na severe eclampsia or severe pre-eclampsia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.