Recent content by peterwapeter

  1. P

    Makonda alipanga kuvuruga shughuli ya Joketi

    Huu ni uhovyo wa hali ya juu kabisa, haya amefurahi mjadala wa michango kuishia pale, I guess huyu kijana ni mpinzani wa chini chini wa DC au ana chuki binafsi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    Waziri Mkuu Wa Luxemburg Aoa Mwanaume, Amagero Ghano Amakangi Sana.

    Mkuu lini tuliwahi kuwa tayari nacho, democrasia?, dini?, uhuru?, sera?, sheria? au aina ya utawala tulionao? Kipi
  3. P

    Mbowe amtaka Dk. Bashiru aanze na CCM: Sasa kama CHADEMA ilijitoa kwenye Uchaguzi wa marudio wananchi wanapata wapi ujasiri kushiriki?

    Kichwa cha habari kinasema "wapinzani" wewe unataka maoni kutoka chama tawala, umeaaanisha ulichoandika au hukuelewa nini kinazungumzwa?
  4. P

    Katibu Mkuu wa CCM uko wapi? Kuna tatizo chamani!

    Ccm na Upinzani nchi hii ni kama Simba na Yanga tu , huyu anamcheka wenzie jambo hili kesho analifanya yeye tena kwa mbwembweeeee na mashabiki wao wanashadadia na kongole nyingiiiiiiiii Mwisho wa siku maaendeleo ni kuyasikia kwa jirani tu.
  5. P

    CCM asili walia inakuwaje mtu kaslim/kabatizwa siku hiyohiyo anapewa upadri/ushekh/uzee wa kanisa na wanaachwa waumini waliopigania imani toka 2015

    Sasa unaona CDM iko salama? Huoni wanavyoparanganyika kwenye zizi? Unataka na CCM ifuate mkondo huo huo wa kuparanganyika? Wewe ni mwana CCM kweli au mamluki?mbinu zilizosababisha maadui wa kisiasa washindwe wewe unazishangilia huku kwetu, lengo lako ni nini? Unadhani wale waliozomewa pale...
  6. P

    Kimenuka: Serikali yawalima barua Twaweza kufuatia utafiti waliotoa. Yawapa siku 7 wajieleze kwanini wasiwajibishwe!

    Hili jambo kwakweli kwa hulka ya mkulu wetu asingelivumilia kabisa maana yeye akisimama iwe jukwaani au popote huwa haongelei changamoto zilizopo huwa ni kujisifu tu tupo kwenye "laiti traki" hivyo yale yote anayoyasema jukwaani ionekane bure Kwakweli hiki nilikisubiri
  7. P

    Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Huyo msimkilize kuhusu mambo yanayohusu Taifa, uwezo wake wa ku "reoson" ni mdogo mno hata hiyo nafasi aliyopewa kwa sababu ya kushambulia upande ule mwingine ni kumuonea tu haimkustahili
  8. P

    Nimechimba kisima kwa 5.8mil nasambaza maji mtaa mzima; Nashangaa miradi ya Serikali huwa inakwama wapi

    Mkuu naomba inbox contact za huyo fundi niongee nae, kwetu kuna shida sana ya maji
  9. P

    Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

    Ina maana uhuru wa Tanganyika haujamkuta yupo humu?
  10. P

    Ndani ya Daladala!......

    ''Ulifikiri" usiwe mvivu uwe unafanya tafiti
  11. P

    Mgombea Wangu wa Urais 2015 ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali walizouziwa Viongozi na Wafanyakazi

    Atakuruka kwa kusema account ilikuwa hacked sio yeye na hawezi kusema maneno hayo
  12. P

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Mkuu unaishi dunia gani, bunge halikupiga marufuku kipindi kile kujadili au kuhoji au hukuwepo nchini?
  13. P

    Peter Msigwa: Vijana wa CCM mtasubiri sana mimi kuinga mkono Serikali ya awamu tano

    Kuna haja ya kuanzisha CCM ASILIA, hiki tuwaachie hawa dotcom wasiojua hata imani na misingi ya chama.
Back
Top Bottom