Katibu Mkuu wa CCM uko wapi? Kuna tatizo chamani!

Katibu Mkuu wa CCM uko wapi? Kuna tatizo chamani!

nimeso

nimesoma comment yako yaani nimehuzunika na kufadhaika sana.....ngoja tu nikapige balimi ndogo moja maana sisi akili zetu ndivyo zilipofikia mwisho....
Nasikia Bia zimeshuka bei

Balimi ndogo ndogo na kubwa bei gani?
 
CCM ina wanachama wengi, imeunda serikali na ina mashabiki wa kutosha.
Kuhangaika na wapinzani wajiunge kwa ahadi za kugombea tena siyo sawa hata kidogo.
Huku ni kubomoa mshikamano na umoja wa wanachama,ni dharau kwa kwa walio wengi kwa kuondoa usawa na haki ya kuchagua au kuchaguliwa.
Madhara yake yaweza kuwa makubwa kuliko faida kwa wale wanachama wenye mtazamo wa kuona mbali.
Tatizo hao wanachama wa kuona mbali ndyo hawapo!
 
Ukiendelea kuhoji nitazuia hati yako ya kusafiria mpaka uniambie uraia wako, ukibisha nitapiga mpaka shangazi zako. Wewe unazuia maendeleo ya chama chetu, ukiona hatufati misingi ya demokrasia tafadhali hamia ule upande mwingine.
Hahaha jinga sana wewe
 
Mzee Tupatupa unahangaika bure kulilia kanuni za CCM kwenye serikali hii ya awamu ya 5

Wao CCM akiwemo Mwenyekiti, walishazisigina Katiba za nchi na ya Chama chao, hivi sasa ni matamko tu kwa kwenda mbele ndiyo yanayofanya kazi!
Ni prezidensho dekriiz au ni kitu gani kwani?
 
CCM ikijifanya laini laini kitafutika, kwa maana vibaraka wanaotumiwa na nguvu fulani kutoka nje ya mipaka yetu ziko makini ili kuhakikisha chama hichi kikongwe barani Afrika kinatokomea, kwa mbinu zozote haswa mbinu chafu.

Wahamiaji munakaribishwa karibuni ndugu makomredi na mutabaki na nyadhifa zenu.
MACCM HATIMAYE YANAENDELEA KUKIRI TARATIBU..NA MTUELEZE YOTE TUNAYOTAKA KUJUA MSIJIFANYE KUSHUPAZA SHINGO HIZO.
 
Wasubirie ccm nyingine hii ni ya wahamiaji, chama ni saccos binafsi ya one man show,hapo wana mawili waunge mkono au wasapoti upinzani.
wanaisoma namba wenyewe.
 
CCM asilia mtapata tabu sanaaaaaaaa.
Ccm na Upinzani nchi hii ni kama Simba na Yanga tu , huyu anamcheka wenzie jambo hili kesho analifanya yeye tena kwa mbwembweeeee na mashabiki wao wanashadadia na kongole nyingiiiiiiiii
Mwisho wa siku maaendeleo ni kuyasikia kwa jirani tu.
 
Waitara anaondoka chadema anadai chadema hakuna demokrasia,natamani niwepo siku moja kwenye kampeni zake nimuulize vip ulichaguliwa na nani au demokrasia gani imetumika ndani ya ccm na kukupitasha kuwa mgombea?

Waafrika chini ya jangwa la sahara hawana akili,akili zao ni sawa na nyumbu- by European scholars

Jibu ni rahisi.Kule Monduli aliyejitokeza kuchukua fomu kwa upande wa CCM ni mmoja tu.Kwa kuwa hakuna taarifa za kukataliwa wengine kuchukua fomu,hiyo ni demokrasia halali.
 
Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele.
huu ubaguzi sasa; mwanachama akishapatiwa kadi ya CCM huyo si mhamiaji tena ( Migrant) bali ni mwanachama kama wale wengine waliokaa miaka nenda rudi.

ungesema "Wanachama wetu wapya waliojiunga hivi karibuni..............". Hilo la kisema wahamiaji ni uchochezi, unachochea ili wabaguliwe na wenzao.
 
Mzee Tupatupa unahangaika bure kulilia kanuni za CCM kwenye serikali hii ya awamu ya 5

Wao CCM akiwemo Mwenyekiti, walishazisigina Katiba za nchi na ya Chama chao, hivi sasa ni matamko tu kwa kwenda mbele ndiyo yanayofanya kazi!
Hizi ndizo mbinu za kutumia kwa sasa kwani chama kilikuwa kinaelekea kubaya sasa lazima zitumike njia mmbadala kuokoa chama WANACCM halisi tutulie kwanza Mwenyekiti aimarishe chama
 
Ambacho wewe hujui ni kuwa hiyo ni biashara kweli na inalipa sana.

Mbunge ili ahame analipwa si chini ya Mil 500 hapo Polepole lazima achukue kabisa 10% na hiyo huchukuliwa toka kwa Mbunge alielipwa,kisha Mbunge huyo hutakiwa kulipa karibu milioni 100 kwa vigogo wa chama ili wapindishe kanuni kuhakikisha anarudishwa yeye.

Hapo ndipo watu wanapigia pesa,ninyi mtaona kalipwa mil 500 lkn anaambulia kama mil 350,zingine zinagawiwa kwa wawezeshaji(wazee wa logistic)

Wapambe wa chama endeleeni kuimba Iyena iyeba ,wenye akili watengeneze pesa.
kana usajili wa yanga kwa yule Mbenin aliyekataa kugawa cha juu
 
Tukisema ccm itaongoza milele mnabiisha.Bavicha wana sympathise na ccm!!
Sisi ccm kama kiti ni cha kimkakati,tutafanya chochote kilicho ndani ya uwezo wetu kukipata.
Kamati kuu ilishaamua wote wanaohama vyama watafikiriwa kwanza kugombea
kama mtu amekuamini kiasi cha kuacha kazi yake kwa ajili yako,na wewe kwa nini usimuoneshe kuwa unamuhitaji na kumuamini sana
 
Tangazo la kuchukuwa fomu jimbo la Ukonga limebandikwa dakika 15 kabla ya deadline wilayani ilala lakini Mwita Waitara katoka karime ndani ya muda huo kawahi, kachukuwa na karejesha.

Ni heri kutokuwa na chama kuliko kukaa na waigizaji kama hawa.
unashangaa ya ccm,unaacha ya chadema!
Lowassa mpaka ugusti 2015 alikua chadema,na wote walijua mgombea ni slaa hata wewe Tanapa ulijua
Ilimchukua lowassa dakika tisini tu kutangazwa mgombea wa urais kupitia chadema,na mjumbe wa maisha wa kamati kuu chadema
Dhambi hii ya usaliti kwa slaa,imeanza kuwatafuna mnajikuta mnashughulika na mambo ya ccm bila ya kujijua
 
Back
Top Bottom