Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

CCM ina watu wengi ambao wana Uraia wenye kutatanisha mno mfano, John Pombe Magufuli, Rais na Mwenyekiti wa CCM, siyo Raia, ana Utanzania wakutatanisha! Kwanza yeye ni kabila gani? Kuongea kisukuma haimanishi ni msukuma kwani wenye kabila hilo wanasema siyo wa kwao. CKosa la kiufundi wanalolifanya CCM, nikuchagua mgombea wao kwa mihemko ya ushindani na uoga wa kulipiziwa visasi kwa madhambi wanayowafanyia wenzao kisha wanajikuta wametuchagulia Viongozi wasiyo Raia wa Nchi hii. Mnaweza kuona jinsi CCM ilivyobadili siasa zake kutoka zile zenye kufuata misingi ya Haki za Binadamu hadi siasa za KIGAIDI (Utekaji na uuwaji wa watu wasiyo na hatia!) ambapo siyo utamaduni wala asili ya siasa za Mtanzania halisi
 
Kuna Wageni wengi ni wanachama wa CCM hasa mikoa ya mipakani na wengi hujichomeka CCM ili kukwepa panga la Uhamiaji kuwarejesha nchini kwao.

Kama watu wa mipakani wengi hujichomeka CCM basi hata mkulu wa kaya atakuwa alijichomeka...!!!!Nasikia watu wengi wa kanda ya Ziwa hasa Kagera, Geita, Mwanza,Chigoma wanatokeaga Rwanda,Burundi,Uganda na DRC Lubumbashi...!!
Tukianza msako na uchunguzi wa kina kuhusu Uraia sidahni kama mkulu atasalimika.......nawaza tu!!
 
Ni kweli kwa 100%
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ndugu Gerad Kabuye ambaye Pia hutumia jina la Samuel na a.k.a Namba 3 si Raia wa Tanzania kwa 100% kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika toka kwa ukoo wake kule Kenya pamoja na vyanzo vya Gazeti la Jamuhuri vimethibitisha sio Raia wa Tanzania, kwa Habari zaidi endelea kusoma gazeti la upate kujua CCM wanavyojitahidi kuficha Aibu hiyo.

Pia soma >Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe
Kisa ni KUTAKA WALIOPIGA TRIL 1.5 WANYONGWE !
 
CCM ina watu wengi ambao wana Uraia wenye kutatanisha mno mfano, John Pombe Magufuli, Rais na Mwenyekiti wa CCM, siyo Raia, ana Utanzania wakutatanisha! Kwanza yeye ni kabila gani? Kuongea kisukuma haimanishi ni msukuma kwani wenye kabila hilo wanasema siyo wa kwao. CKosa la kiufundi wanalolifanya CCM, nikuchagua mgombea wao kwa mihemko ya ushindani na uoga wa kulipiziwa visasi kwa madhambi wanayowafanyia wenzao kisha wanajikuta wametuchagulia Viongozi wasiyo Raia wa Nchi hii. Mnaweza kuona jinsi CCM ilivyobadili siasa zake kutoka zile zenye kufuata misingi ya Haki za Binadamu hadi siasa za KIGAIDI (Utekaji na uuwaji wa watu wasiyo na hatia!) ambapo siyo utamaduni wala asili ya siasa za Mtanzania halisi
Kinana Asili yake ni Somalia, Ethiopia, Mzee mangula ni mzambia na polepole ni mnyasa toka malawi na Mwenyekiti wa CCM Taifa asili yake ni Burundi.
 
Zungukia na Vietnam kidogo kisha nenda na Cambodia ikiwezekana malizia na Mongolia kabsa
saw
Sawa nasubiria mkutano wa Kim na Trump ukiisha tu nitaelekea huko baada ya safari ya Afghanistan.
 
Hutaki ashukuru kwa taarifa? au huyo kigogo wa CCM ni ndugu yako? Kwa Bahati nzuri Mtukufu malaika toka chato hapendi CCM ichafuke ngoja tuone kama atamlinda huyo Mwenyekiti wa CCM kama anavyomlinda Naibu Rais Maliyamungu Bashite.
Toba.....
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ndugu Gerad Kabuye ambaye Pia hutumia jina la Samuel na a.k.a Namba 3 si Raia wa Tanzania kwa 100% kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika toka kwa ukoo wake kule Kenya pamoja na vyanzo vya Gazeti la Jamuhuri vimethibitisha sio Raia wa Tanzania, kwa Habari zaidi endelea kusoma gazeti la upate kujua CCM wanavyojitahidi kuficha Aibu hiyo.

Pia soma >Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe
Wanaosema ukweli wanakuwa sio raia mbona watu wa dar huwa awaambiwi siyo raia au kwa vile hakuna mpaka iliyowazunguka
 
Wa Dar wapo ambao sio Raia mfano akina mzee Mwinyi Asili yake ni Comoro hata 80% ya Raia wa Zanzibar Asili yao ni watumwa waliokuwa wakisombwa toka Burundi, Congo wakarundikwa Tabora kisha wakaletwa Bagamoyo na kupelekwa Zanzibar kabla ya kupelekwa nje na wale wagonjwa na vilema walisalia Zanzibar na kuzaana kwa bidii leo hii wanajiita wazanzibar wakati ni wazanzibara watupu.
 
Kwa ule upumbavu aliouonesha pale Sirari siku ile ya yule kijana kuzikwa. Hata mimi nilijua muda si mwingi atakuwa si raia. Na akiwa raia, atazuliwa kuuza chama CDM.
 
Wa Dar wapo ambao sio Raia mfano akina mzee Mwinyi Asili yake ni Comoro hata 80% ya Raia wa Zanzibar Asili yao ni watumwa waliokuwa wakisombwa toka Burundi, Congo wakarundikwa Tabora kisha wakaletwa Bagamoyo na kupelekwa Zanzibar kabla ya kupelekwa nje na wale wagonjwa na vilema walisalia Zanzibar na kuzaana kwa bidii leo hii wanajiita wazanzibar wakati ni wazanzibara watupu.
Nilikuwa na maana kiwa mbona wao hawaambiwi kuwa co watz au kwa vile wanamsapport dictator
 
Back
Top Bottom