Ni kundi moja tu tena wanastahili kunyongwa kabisaVipi kuhusu viongozi waliofoji vyeti?
- KANA -
Ni kundi moja tu tena wanastahili kunyongwa kabisaVipi kuhusu viongozi waliofoji vyeti?
- KANA -
Na hii inathibitisha ule usemi wa ukitaka kujua tabia ya mtu subiri apate pesa au madaraka.Hii imeniuma sana mie binafsi, kumbe kuna watu wa HOVYO walialikwa na DC, sasa naelewa ulevi wa madaraka ukoje, binadamu sisi tunajisahau sana tukipewa madaraka
Hata ningekuwa mimi ningevuruga tu yaani unanialika kwenye operesheni ya kunitokomeza!!!!!Zero unamwalikaje kutokomeza Zero. Ndio zero zilivyo
Kwani wewe umehama kambi hiyo?Inawezekana Pierre alikuwa maaarufu kuliko mzee baba akapatwa wivu akamuwasha ina maana mzee baba hawez kuwa kiongoz bora maana hana Upendo kwa watu asio wakubaali same problem
Tungemkuta kwenye kiroba huko coco BeachHii sentence ina maana kubwa sana what if angekua Piere amesema vile leo hii angekua bado yupo tu uraiani anakunywa Beer zake?
Huu ni uhovyo wa hali ya juu kabisa, haya amefurahi mjadala wa michango kuishia pale, I guess huyu kijana ni mpinzani wa chini chini wa DC au ana chuki binafsiKafanikiwa kumvurugia Mwenzie Tamasha lake
Sasa hivi mjadala Ni Yeye Na Pierre kuhusu Umarufu wa Pierre sio Tena Jokate Na harakati zake Za kutokomeza Zero
Mkuu ulikuwa hujajua kama kuna watu wamelewa madaraka?Hii imeniuma sana mie binafsi, kumbe kuna watu wa HOVYO walialikwa na DC, sasa naelewa ulevi wa madaraka ukoje, binadamu sisi tunajisahau sana tukipewa madaraka
Chuki ilianzishwa na JF mliposema Dc ni mtu wa karibu zaidi na JPM. Hakuna mwanamke anayemtakia mazuri mwanamke mwenzake!Huu ni uhovyo wa hali ya juu kabisa, haya amefurahi mjadala wa michango kuishia pale, I guess huyu kijana ni mpinzani wa chini chini wa DC au ana chuki binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unamaanisha......... Ni...... PiaChuki ilianzishwa na JF mliposema Dc ni mtu wa karibu zaidi na JPM. Hakuna mwanamke anayemtakia mazuri mwanamke mwenzake!
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa kama demu yule ujue anawivu kweliAlitaka ile shuguli "a take over yeye....
How come DC wa kisarawe anipiku kwa kuendesha shuguli ile iliyokuwa inaelekea kufanikiwa wakati mimi sijawahi kufikiria kufanya jambo kama hilo....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app