me naanza hivi,bristol city wim,,,chesterfied win,,burry win,,wycombe win,,york win,,,forest green win,,portmouth win!!naomben mawazo nimtoe yupi na yup nimwache zibaki tano za kupata mtaj wa kubetia?
habar dr,me nikajana wa kiume nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sana sehem za siri yan najikuna had nachubuka afu tena kuna layer ya ngoz huwa inajitengeneza na kutoka, pia kwenye mapaja na mikononi huwa natokwa na vipele afu vinato maji nikikamua vinawasha sana had nakosa amani,naomba na tiba...
Habari wana JF,
Naomba kwa yeyote mwenye taarifa za ajira ya utumishi wa mahakama za tarehe 2/2/2015 anisaidie nimeskia washaita watu kwa ajili ya interview ila sijaona link ya kuangalizia majina.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.