Wizara ya Kilimo watatoa lini ajira?

Wizara ya Kilimo watatoa lini ajira?

peter20

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
24
Reaction score
4
Naomba kuuliza kwa anaefahamu Wizara ya Kilimo itatoa lini ajira zake tumesubiri sana kimya afu walituzuia kusoma wakisema hadi tuajiriwe tufanye kazi kwa miaka miwili ndio tukasome hadi leo kimya maisha magumu.
 
Pole Sana Kijana Wangu. Wenzako Wanaripoti Kila Leo Kwny Vituo Vya Kazi
 
Back
Top Bottom