Natafuta kazi kwenye sekta ya kilimo

Natafuta kazi kwenye sekta ya kilimo

peter20

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
24
Reaction score
4
msaada wa kupata kazi kwenye sekta ya kilimo tafadhalini,nimehitimu astashahada ya kilimo ma mifugo,, kwenye makampuni ya kilimo au kazi yoyote!!natanguliza shukran kama ntasaidiwa
 
msaada wa kupata kazi kwenye sekta ya kilimo tafadhalini,kwenye makampuni ya kilimo au kazi yoyote!!natanguliza shukran kama ntasaidiwa

Ungesema jazi gani unataka mkuu, na ujuzi ulionao...
 
Back
Top Bottom