Recent content by peter phillip

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

    Waulize walioanzisha zoezi LA uhakiki wa vyeti,watumishi hewa!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na viongozi aina ya huyu!

    Ilianza kutoweka Mara tu baada ya MWL. Kung'atuka.Wakati wa mchakato wa kumpata mrithi wa MWL , majungu,fitina na mizengwe dhidi ya S.A.Salim ilipofanikiwa ikafanya watamani "utukufu" bandia kuona njia pekee no kutumia njia hizo chafu.Kitu ambacho hawakujua no kuwa walikuwa wanapanda mbegu mbaya...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa CHADEMA ana upekee gani?

    Kwani magufuli ana upekee gani hata I we nongwa kusemwa? Wanasemwa Obama,Trump,Merkel,Sarkoz, Mugabe,Kenyatta,kikwete sembuse yeye? Kama unaona Mbowe ni wa kawaida hata huyo n simple vile vile!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hulka ya binadamu ni kufurahia anguko /matatizo ya wengine

    Japo in hulka ya wengi lakini wabongo tumezidi Haiingii akilini MTU mwenye elimu kiwango cha PhD kufanya upuuzi unaofanywa na std v.Watu kama Tulia,Mwakyembe,Lipumba jata bosi wao unashindwa kuelewa kama hizo shule zilikuwa no msaada kwao au balaa tupu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Tupe kifungu cha sheria au ibara ya katiba inayomtambua kuwa rais wa mkoa, vinginevyo n kufikiri kimasaburi.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Hakuna anayepinga vita hii ila so kwa mtindo huu wa kijinga jinga ( kikonda kinda na ziro ziro)
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Kwa maana nyingine mahakama walotoa huo wito hawajui kutafsiri sheria Bali we we? Usiingilie majukumu ya watu na wala wewe so msemaji wao.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania mpo wanafiki hivi. Kila ninayemuuliza anasema hakumpigia kura Magufuli.

    Timu marope ilisaidia kushinda! Kwani siri?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Mungu so wa ccm.Hata wengine wanamtanguliza Mungu na ndo maana wanapata haki.Nyang'au wanapigwa chini.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lugumi, Tibaijuka, Chenge wakitangaza kuhamia CHADEMA, Je watapokewa?

    Na kuko walipo sasa ni kitu gani na wanatunzwa wa aina gani, ni kiwanda cha kuzalisha au kurudufu?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Lugumi, Tibaijuka, Chenge wakitangaza kuhamia CHADEMA, Je watapokewa?

    Kwa hiyo kwa vile bado wapo ccm ni sawa tu,wakihama inakuwa ajenda mdomoni? Waambieni wahamie ili muone nini kitatokea. Mbona unyanyapaa usio na tija?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Rudi shule ukasome upya( kama ulisoma sherua). Kama so taaluma yako uliza wanaofahamu na kujua sheria. Kuna mipaka na ukomo wa mamlaka na kinga. Niambie king a ya hao watu inapatikana wapi na sheria IPI.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Viburudisho vya akili finyu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Ina maana umeshapewa ngapi had I sasa?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Lissu mwenyekiti TLS ni kuzika lengo la kuanzishwa kwake

    Umetumwa? Kawaambie waje wenyewe iwanyeshee.
Back
Top Bottom