Kwanini Watanzania mpo wanafiki hivi. Kila ninayemuuliza anasema hakumpigia kura Magufuli.

16585310_1863967277212513_6588929369111003136_n.jpg
 
we need him kwa kusigina Democracy an freedom of speech
No, we need him for this,

-ATCL ifufuke ituletee watalii mamilioni..
-SGR, reli ya umeme tusafiri Massa matatu hadi Dodoma
-Umeme angalau MW5000
- JNIA uhudumie angalau abiria mil6 kwa mwaka
-Flyovers, expressways na BRT na Light rail DSM kuondoa congestion na kuharakisha mishemishe za kutafuta mshiko
- Barbara za rami katika Halmashauri zetu,
- Maji na huduma safi na za uhakika za Afya

And JPM atafanikisha haya.
Wewe unataka nini?
 
Ni ln mfalme atakuja Mbeya? Tumempania sn Kwan tulimpa kura nyingi
 
Nashangaa hata waliompigia kampen mtaan kwetu wanamkana.
Ni hatari sana. Ndiyo tatizo la kumuingiza mtu anayejijua yy na makada wake. Hakupaswa kuwa raisi hata yy hukiri hivyo ila kutoka na uroho wa ccm wakamuweka na watz wengi walivyo wajinga wakamkaribisha hawakujua kuwa wamemkaribisha chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
Uzuri tunaisoma namba wapinzani tu. Wanaccm hata haiwahusu kbsa
Ohooooo!!!
 
Laana yote ataibeba Lubuva

Ukweli ni kuwa huyu jamaa wengi hawakumpigia kura kivile kama walivyompa Lowasa.

CCM wanajua, Yeye mwenyewe anajua, "Taasisi" inajua kuwa HAKUSHINDA.


Na ndio maana nguvu kubwa inatumika kutawala badala ya akili.

YAANI UTAWALA HUU NGUVU NYINGI AKILI KINDUDE.
Ohoooo!!!
 
Mi nilimpigia kura na hata ule uchaguzi ukirudiwa tena na wagombea ni walewale ntampigia tena huyuhuyu

Nilimpigia huku nikijua ni mtendaji na hata akiwa raisi atakuwa ni mtawala tu. Ila alikuwa ni hafueni ya wengine wote alioshindana nao.

Nisingeweza kuwa mnafiki kupingana na ukweli, acha ukweli uniweke huru mie. Hata angeshindanishwa na Kikwete ningempa huyuhuyu. Unafiki kwangu ni mwiko.
Sawa.
 
sikumpa na hatakaa apate kura yangu
dikteta yule asie na uchungu wala huruma
mpenda kulipiza visasi ana roho ya kwanini.

kama sio kuiba asingepata ata robo ya kura za lowasa.
 
No, we need him for this,

-ATCL ifufuke ituletee watalii mamilioni..
-SGR, reli ya umeme tusafiri Massa matatu hadi Dodoma
-Umeme angalau MW5000
- JNIA uhudumie angalau abiria mil6 kwa mwaka
-Flyovers, expressways na BRT na Light rail DSM kuondoa congestion na kuharakisha mishemishe za kutafuta mshiko
- Barbara za rami katika Halmashauri zetu,
- Maji na huduma safi na za uhakika za Afya

And JPM atafanikisha haya.
Wewe unataka nini?


Nataka useme "lami" badala ya "rami"
 
Kuna jamaa alilkua anamkubali Magufuli sana mpaka akarudi nyumbani kwao (Mwanza) kwenda kumpigia kura. Sasa ni meezi wa 3 kampuni yao haijapata tenda yoyote toka serikali kila wakiuliza wanambiwa serikali haina pesa.
Sasa hivi anatukana tu na kujutia kupiga kura
Ohoooo!!!
 
Back
Top Bottom