Recent content by Peter Nyanje

  1. P

    JamiiForums Tanzania Umemwona farasi?

    Ahaaa, kumbe wapo watu watano
  2. P

    JamiiForums Tanzania Umemwona farasi?

    Four, au nimekosa?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    here we go...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Umemwona farasi?

    sasa, name only one feature which is common in the chura and farasi head
  5. P

    JamiiForums Tanzania Umemwona farasi?

    Mi nimeona kichwa cha farasi, to be exact
  6. P

    JamiiForums Tanzania "Serikali na Vikao Vya Usiku wa Manane!. Sii Bure!, Lazima Kuna Jambo"!.

    Pasco, tusaidie tuache kuwa watabiri na kufanya mambo kisayansi. Kwa kuanzia, unaweza kututajia namba za hayo magari... hizo zinazoanzana W na NW... ili tujue ni watu wa aina gani wanaweza kuwa ndio waliohuidhuria kikao hicho. Baada ya hapo, tunaweza kuanza 'kufikiri' kwa mwanga kidogo
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu BAE.... Panya hula yamini!

    Panya dawa yake sumu, aingiapo nyumbani, Kumsaka ni muhimu, hata akiwa darini, Kumuacha akidumu, tutabaki kilioni, Yamini wanayokula, wale wao sio sisi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya baba yake Selasini kuwa vita kati ya CHADEMA na CCM?

    Badala ya kutumia tukio hili kuongeza uhasama, CCM na Chadema wanaweza kutumia mkusanyikohuo kujenga utamaduni wa kufanya siasa bila kupigana kwa sababu kifo hiki cha Mzee kinaonyesha kuwa watanzania tu watu wamoja
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya migomo Tanzania hii hapa

    Sasbu nyingine kubwa ni uongozi mbovu... hayo uliyoyaorodhesha yanaweza kutatuliwa kwa rasilimali hizi hizi tulizonazo lakini unatakiwa uongozi mzuri tu
  10. P

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Hongera sana Makutano Show
  11. P

    JamiiForums Tanzania Shem utatapita pale petrol station..

    Kweli kabisa, kwani siku za nyuma nani alikuwa anamuingizia hizo namba za luku?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Siungi Mkono hoja ya Zitto

    Ili kuhalalisha kumsulubu PM, Zitto alitoa hoja hii: Mheshimiwa Naibu Spika, mwisho. Tatizo kubwa la Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutokutekelezwa ni ukosefu wa uwajibikaji; na kama nchi hii tunataka tuendelee, kama tunataka tupigane kwa dhati kabisa dhidi ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Mbunge anatakiwa kuwasilisha hoja ya kudhamiria kutoa hoja ya kutokuwa na imani na PM akiwa ameambatanisha na saini za asilimia 20 ya wabunge wote. Iwapo mjadala ukifika bungeni utaamriwa kwa kura za siri na inabidi ipatikane zaidi ya asilimia 50 ya kura za wabunge wote ili kumwondoa PM
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Hadi hivi sasa zimepatikana saini 66, tano kutoka CCM
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Alphaxard Kange Lugola - CCM
Back
Top Bottom