Native Microfinance inatafuta watu wanaofahamu vizuri kazi za solidlity group lending kufanya kazi hizo katika ofisi zetu za kanda. Wanahitajika watu wenye uzoefu huo walau miaka mitatu, elimu inayotakiwa diploma au digrii katika fani za biashara, kilimo, nk. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10...