Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 623
- 582
Wanajanvi,
Habari zenu,
Baada ya mapumziko ya sikukuu ya Pasaka kwisha sasa tujikite kwenye kazi
Kichwa cha habari chahusika,
Nina eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 3500 lipo kimara mwisho njia ya kwenda Bonyokwa ni kama mita 400 kutoka kilipo kituo kikuu cha mwendo kasi yaani BRT.
natafuta mbia wa kuendeleza eneo hilo iwe ujenzi wa packing ya magari kwa watu watokao bonyokwa kupaki hapo na kwenda kupanda Udart au kujenga shopping center, vyovyote vile tutakavyoafikiana na mbia mwenzangu. Eneo lina hati miliki, kwa aliye na utayari tafadhali tuwasiliane PM kwa maelezo zaidi