Peter Ngenda
Member
- Feb 26, 2017
- 19
- 7
Wadau naomba kufahamu wauzaji wa software za microcredit hapa tanzania, wanaitwaja na wanapatikana wapi?
Wasiliana nasi BONGOTECH wa Posta, wana software zote za Accounting.Na bei zei ni chini mno kutegemea na transaction zako. wanaanzia laki tatu, kuna laki tano hadi milioni mbili. mawasilianoWadau naomba kufahamu wauzaji wa software za microcredit hapa tanzania, wanaitwaja na wanapatikana wapi?