Natafuta kazi jamani

071418952

Member
Jun 29, 2016
10
0
Habari yenu wadau Mimi nikijana niliyehitimu cheti cha uhasibu sikufanikiwa kuendelea kwasababu ya ada hivyo ndugu zangu natafuta kazi ya kufanya hata ya kuuza DUKA;stationery au yoyote halali 0714218952/067116587
 
Habari yenu wadau Mimi nikijana niliyehitimu cheti cha uhasibu sikufanikiwa kuendelea kwasababu ya ada hivyo ndugu zangu natafuta kazi ya kufanya hata ya kuuza DUKA;stationery au yoyote halali 0714218952/067116582
 
utapata kijana,ila kuwa makini kipindi hiki unaweza ukaibiwa na matapeli wa ajira...Mungu yu pamoja nawe..
 
tuliza akili tafuta kamtaji kadogo ikibidi tumia elimu yako kujiajiri kutegemea ajira sio lazima ukiwa makini waeza toka kimaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom