Peter Ngenda
Member
- Feb 26, 2017
- 19
- 7
Tasisi ya Native Microfinance iliyopo Dar es salaam, inatafuta watu wenye uzoefu wa kutoa na kusimamia mikopo ya vikundi vya wajasiliamali mijini na vijijini. Mtu yeyote mwenye uzoefu wa kazi hiyo atume CV yake kwa afisa utumishi email: peterbensonngenda@gmail.com.