Peter Ngenda
Member
- Feb 26, 2017
- 19
- 7
Jamani naombeni kufahamu wataalamu wanaoshugulika au kuuza software za mambo yanayohusu mifumo ya kusimamia mikopo midogo midogo ya vikundi na watu binafsi. Kama hapa tanzana wanapatikana tunaoma tunaomba majina na maeneo wapopatikana.