Recent content by Peter Mabala

  1. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania JBL BoomX3

    Bei gani?
  2. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Naomba location na contacts za hilo chimbo hata inbox mkuu nitashukuru.
  3. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    Punguza ukali kidogo. Nijuze taratibu.
  4. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    Kwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
  5. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Napenda hili litokee. Je, Yanga mtakuwa upande gani?

    Hata kama ikitokea ni final, nitaweka shilingi yangu kwa Simba.
  6. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Kwako Mwanamichezo, Gamondi na Nabi yupi zaidi?

    Wote wapo vizuri. Kila mmoja ameweza kuitangaza Yanga vilivyo kimataifa.
  7. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Nalipiaje Poweramp Player Wakuu...?

    Anza na hiyo Trial kisha pakua Full Version Unlocker ambapo utafanya malipo hayo ya tsh 10k.
  8. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Hili la mchele hapana kwa kweli. Vijana wetu wasijeanza kuwashwa.
  9. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

    Report ya kocha iwe fupi tu. Ni kwamba tulicheza na majini ndiyo pona yake.
  10. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Akishinda viporo vyote vinne anaongoza league.
  11. Peter Mabala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

    Uliwahi kuwa kwenye mahusiano yeyote kabla?
  12. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Mediama kiingilio bure ila uwe na jezi OG

    Hahahah
  13. Peter Mabala

    JamiiForums Tanzania Tunaunza nguo pamoja na perfumes

    Ni vyema ukataja eneo duka lilipo, kuambatanisha bei ya bidhaa. Sambamba na hilo ukatag ukurasa wako wa mtandao wa kijamii Instagram, X, Facebook n.k
Back
Top Bottom