Recent content by pessa boi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Wise man lives forever
  2. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    po pow pow nmechukua namb zako ntakuchek nkifika musoma uko polin ndio ntazama mpaka ukue
  3. P

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    ushauli wa bure kwa waliomaliza form four nenden tu advance diploma mambo yatawashindq
  4. P

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    wameumizwa wa diploma ila wa A level cjaona cha maana kilichofanyika...... na sasa nimetambua mtu aliemalza diploma akapata GPA ya 3.5 ni sawa na mwenye one form six...... hongereni sana mliotoka diploma na kufikia GPA ya 3.5 kwenda juu you guys are real genius
  5. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    makanya nina million moja niko kahama naomba unipe maelekezo jinsi ya kuigawanya kuchukua mzigo usafir na soko manake nmechoka kutumikia ofice za watu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Best Universities in Tanzania (2016)

    Mzumbe inapaswa kua ya kwanza.... Sababu ntazileta nkikamilisha research yng baada ya wiki mbili
  7. P

    JamiiForums Tanzania Vyuo vingine havipo hapa tanzania zaidi ya UDSM

    ili la msingi sana mkuu anzisha mjadala
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutibu tumbo linalobana kwa juu

    naona ni izo tu sema naona na midomo kama inachanika ndugu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutibu tumbo linalobana kwa juu

    shukrani kaka ngoja nifanye utaratibu uo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutibu tumbo linalobana kwa juu

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki.. Mimi nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa linabana sana kwa juu karibu na maungio ya mbavu ... Ninaomba msaada nitumie tiba gani na inaweza kuwa ugonjwa gani kwasababu kila nikipima naambiwa amiba mala minyoo... Kwa mwanzoni kuna daktari mmoja...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    nachoamini hakuna mchezo mchafu kama siasa ndio maana nchi ya marekani inasemaga haina rafiki wala adui wa kudumu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkopo kwa diploma holders kwenda degree

    hata izo post zinazozunguka mitandaon hazisemi watakaoenda degree wenye diploma hawatapewa mkopo bali wale walio na ufaulu wa chini ya GPA 3.3 ambao pia wataenda kusoma io special diploma ndio hawatapewa mkopo wakiwa wanasomea io diploma bali watapata punguzo la ada lakin wenye sifa za kujiunga...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkopo kwa diploma holders kwenda degree

    TUNAOMBA CHANZO CHA HABARI... MSIWAPE HOMA WATOTO WA WATU WAANZE KUKATA TAMAA
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

    uyo atakua mgonjwa wa akili
Back
Top Bottom