Habari zenu ndugu jamaa na marafiki..
Mimi nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa linabana sana kwa juu karibu na maungio ya mbavu ...
Ninaomba msaada nitumie tiba gani na inaweza kuwa ugonjwa gani kwasababu kila nikipima naambiwa amiba mala minyoo...
Kwa mwanzoni kuna daktari mmoja alinishauri niwe nakunywa dawa aina ya FLUCAMOX tumbo likawa linapoa lakini kwa sasa hiyo dawa hainisaidii chochote ...
Naomba msaada wenu kwa sababu hapa nilipo linanisumbua sana.