Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

mzumbe asilimia kubwa ya walimu ni watoto wa maprofesa...

mkuu wa chuo aliyepita prof kuzilwa mke wake alikuwa director wa library, kuna mwingine mkuu aliepita warioba mtoto wake alikuwa hapo na mkewe pia wote staff wa mzumbe..

kuna mwingine komunte nae mtoto wake hapo hapo...

mzumbe kama baba yako ni prof pale hata ukiwa kilaza unaweza ukajikuta umekuwa lecture na wewe pale.pale
 
Yupo Profesa mmoja (alikuwa Boss pale) na mkewe akachomekwa kwa sasa nae ni Profesa (huenda nae alikuwa anavizia U-Vice Chancellor lakini kwa awamu hii wakalambishwa mchanga na sasa kaletwa Profesa toka Nelson Mandela Institute of Science & Technology, Arushaaaaaaaaaaa.
 
Jamani! Mzumbe ninayoijua mie ile iliyowatoa akina Uttoh Ludovick leo kimekuwa kimeo?
Sitaki niamini.
 
Jamani! Mzumbe ninayoijua mie ile iliyowatoa akina Uttoh Ludovick leo kimekuwa kimeo?
Sitaki niamini.
Hii story naijua kidogo, maana kuna jamaa yangu alisoma pale. Kulikuwa na huo mtindo wa voda fasta/maharage ya mbeya 2013 ambapo mkuu wa chuo kampasi ya Dar alikuwa anawalea waovu, maana hata yeye alikuwa muovu maana aliruhusu waalimu kufanyia watu dissertation, walikuwa watu wakikamatwa wanaibia exam wanatoa hela wanaachiwa, ila baadaye baadhi ya walimu walikuja kuondolewa kurudishwa main campus moro, na later on huyo mkuu wa kampasi akaja ondoka akaletwa mwingine ambaye alirudisha heshima ya dar kampas, mpaka sasa mambo safi kabisa. CV za Lecturers sasa ni PhD holders tu ndiyo wanafundisha masters, na pia kwa dar kampasi wanafunzi wote ni lazima wahudhurie darasani kwa kiwango fulani ili waweze kufanya exam, pia dissertation hawafanyiwi na wapo very strict, ukishindwa unafeli au kudisko (imetokea mwaka jana kunawanafunzi walidisko kwa kushindwa dissertation, na kuna wanfunzi walishindwa kufanya exam baada ya kuwa na chini ya 80% class attendance).

Hivyo unakaribishwa tena Mzumbe, wale mamluki walishaondolewa kabisa.
 
....use simple common sense UDSM .....Mwenye Masters degree anamfundisha student wa Masters? na kusimamia dissertation...uliona wapi udhaifu huu?
Kwa kigezo hiki hata UDSM is no better! Trust me.
 
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.
Tanzania hakuna chuo kikuu bora. Hata kuko unako dhani ni bora hakuna ubora wowote.
 
mzumbe asilimia kubwa ya walimu ni watoto wa maprofesa...

mkuu wa chuo aliyepita prof kuzilwa mke wake alikuwa director wa library, kuna mwingine mkuu aliepita warioba mtoto wake alikuwa hapo na mkewe pia wote staff wa mzumbe..

kuna mwingine komunte nae mtoto wake hapo hapo...

mzumbe kama baba yako ni prof pale hata ukiwa kilaza unaweza ukajikuta umekuwa lecture na wewe pale.pale
Mbona wewe hujawa?!!
 
Kama msingi wa shule ulizosoma huko nyuma siyo mzuri,usitegemee unapokwenda Master kufanya maajabu au kupata kitu cha tofauti hata ukienda kuitafutia ughaibuni,, binafsi nawashukuru Mzumbe kupitia program ya MBA,wamenifanya niwe Na ujasiri wa kuacha kazi za kuajiriwa Na kujiajiri kwa kufungua kampuni yangu Na kuisimamia kwa kiwango kizuri tu.
 
best-uni-africa.png
 
Kasome Commercial Law, ukitoka ulete report hapa jamvini, ...usizungumze tu, wacha kabisa. Unatonesha vidonda

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Kama msingi wa shule ulizosoma huko nyuma siyo mzuri,usitegemee unapokwenda Master kufanya maajabu au kupata kitu cha tofauti hata ukienda kuitafutia ughaibuni,, binafsi nawashukuru Mzumbe kupitia program ya MBA,wamenifanya niwe Na ujasiri wa kuacha kazi za kuajiriwa Na kujiajiri kwa kufungua kampuni yangu Na kuisimamia kwa kiwango kizuri tu.
Safiii sanaaa

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom