Recent content by pesa six pack halisi

  1. pesa six pack halisi

    Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

    Yap Yap,, ujue Tz kuna wakulima wengi lakn wanalima kwa mazoea na si kitaalamu, , that's why mchango wa kilimo kwenye pato la taifa unazidi kudorora siku hata siku
  2. pesa six pack halisi

    Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

    aggyjay Huyu pia anataka kumfurahisha magu. ...si alisema Katika awamu yake tujitahidi kufyatua watoto[emoji23] [emoji23]
  3. pesa six pack halisi

    Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

    Sio kumfurahisha magu, la hasha! Nikiwa mtu mkubwa na muhimu kama gates ni lazma nihakikishe nainua sekta znazogusa kundi kubwa la watu wanyonge
  4. pesa six pack halisi

    Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

    Pia ningeshawish wakulima wajiunge kwny vikundi vidogovidogo ili niwakopeshe rasilimali fedha na zana za kisasa za kilimo waachane na kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua. ..hii yote ni kwasabab kwa Tz kilimo ndo uti wa mgongo kilimo bora kinachangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi yetu! !
  5. pesa six pack halisi

    Ungekuwa Bill Gatess tajiri namba moja duniani ungefanyaje?

    Mara paaaap mi ndo gates mwenyewe,,, Ningefufua viwanda vidogovidogo kama MWATEX n.k ili kuongeza nafasi za ajira kwa Watz Vlevle kuendana na kauli mbiu ya mkulu
  6. pesa six pack halisi

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Msichana ambae kila ukimpigia mida ya usiku unaambiwa simu inatumika USIWOWE
  7. pesa six pack halisi

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Msichana mlopeana namba afu yeye ndo akaanza kukutext USIWOWE
  8. pesa six pack halisi

    Ukiona msichana ana ujasiri wa kuyafanya haya tafadhali usioe

    Msichana aliyekwisha zaa ama kuachika USIWOWE
  9. pesa six pack halisi

    Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

    Mi mwenyewe nashangaa[emoji15] [emoji15] Huyu mtoa mada cjui hajui kuwa genye hazijui tarehe wala siku,,, zikipanda tu, Imooooooo! !!
  10. pesa six pack halisi

    Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

    Kutisha kawaida yangu comrade[emoji109] [emoji109]
  11. pesa six pack halisi

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Wanaume wenye vitambi wanasifa zifuatazo:- 1.99% vibamia hata ree 2.Hawawezi rudia kwichikwichi (bao moja chalii) 3.
  12. pesa six pack halisi

    Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

    [emoji115] [emoji115] if u can't fight them, join them!
  13. pesa six pack halisi

    Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

    Dunia inabadilika. ...shauri zako uliyezoea kula kwa jasho! ! Ngoja nijilipue kwa muhindi chapuuu
Back
Top Bottom