Recent content by PersonnelReporter

  1. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa wafanyakazi lini?

    Ni muda mrefu sasa umepita tangu shughuli zote zinazo wahusu watumishi wa umma zilivyosimamishwa kwa kigezo cha kutafuta watumishi hewa, bila shaka zoezi linaelekea mwisho kama sio kuwa limeshakwisha. Swali ni je, ni lini mchakato wa uhamisho utakuwa resumed?
  2. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    I don't see the point to blame on you because that is the end of your thinking capacity. #poor shame on you.
  3. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    Nimeelewa nilipokuwa sijaelewa. BY THE WAY, NINAELEWA NEC NI NINI NA ZEC NI NINI. Poleni kwa usumbufu wachangiaji wote hata wale mlioonyesha uwezo wanu wa kutukana. Siku zote mkono hukuna unapofika na sio vinginevyo.
  4. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    Siasa za Tanzania zina maajabu yake, maajabu ambayo hauwezi kuyakuta popote Duniani, hasa siasa za upinzani. Kwa kumbukumbu zangu ACT WAZALENDO na UKAWA waligomea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar uliofanyika mwezi machi mwaka jana 2016. Madai yao ilikuwa kukiukwa kwa misingi ya...
  5. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?

    Busara ni jumla ya matumizi yako ya akili, uishindwa kuitumia akili yako vizuri kamwe huwezi kuitwa mwenye busara, inawezekana kuwa na busara matendo na matamshi ndio kiashiria cha kuwepo Busara, busara ni kipaji sio kila MTU anaweza kuwanayo, tuwasamehe, tuwaelimishe na kuwakubari wote wasio na...
  6. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Siasa Ingekuwa Huru, Rais Magufuli Angekuwa Hoi Kisiasa

    Waseme chochote tokea majimboni kwao, media zipo tutasikia walichokizungumza.
  7. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Truth will never lost
  8. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

    Tunashukuru kwa tetesi hiyo. But U.S should leave us free as sovereignty state.
  9. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania TANESCO inagawa units 700 za umeme kwa wafanyakazi

    Walimu wapewa nini?
  10. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Typing error
  11. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Alichokipanga hakukiandika na alichokiandika hakukipanga huyu ndio saed kubenea muhariri mkuu wa gazeti la kiuchunguzi la Mwanahalisi. Alichotaka kukiandika kubenea kilibadilishiwa angani, kwenye kidokezo kilichotolewa kupitia mtandao wa www.mwanahalisi.com kilionyesha uhakika kwa zaidi ya 80%...
  12. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Zitto Kigoma kunavuja, nenda kazibe ufa

    Mungu anamuona!!!
  13. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Zitto Kigoma kunavuja, nenda kazibe ufa

    Katika Jimbo la Kigoma mjini ambapo Zitto Kabwe ndio muwakilishi wa Jimbo hilo Bungeni, wananchi wamekuwa wakilalama na kumlalamikia mbunge wao kuwa hana msaada kwao zaidi ya kuwalaghai. Wanakigoma wanalalamikia maji, umeme na miundombinu mibovu huku Zitto akiwa jijini Dar es Salaam ambako huko...
  14. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kuonekana kwa Ben, na hekaya za "kikaratasi" ofisi za MwanaHALISI

    Ipo siku ukweli wa muongo na uongo wa mkweli vitabainika.
  15. PersonnelReporter

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uhamisho wa walimu umesimamishwa?

    Tafadhalini wana JF naombeni mnisaidie kufahamu kuhusu uhamisho wa walimu, je nikweli mchakato huu umesimamishwa na kama umesimamishwa utafunguliwa lini?
Back
Top Bottom