Uhamisho wa wafanyakazi lini?

Dec 16, 2016
23
10
Ni muda mrefu sasa umepita tangu shughuli zote zinazo wahusu watumishi wa umma zilivyosimamishwa kwa kigezo cha kutafuta watumishi hewa, bila shaka zoezi linaelekea mwisho kama sio kuwa limeshakwisha.
Swali ni je, ni lini mchakato wa uhamisho utakuwa resumed?
 
Tumia Kiswahili moja kwa moja tukuelewe acha kiswanglish hatutakuelewa wengine hatujasoma
 
Back
Top Bottom