Mchakato wa uhamisho wa walimu umesimamishwa?

Mchakato wa uhamisho wa walimu umesimamishwa?

Joined
Dec 16, 2016
Posts
23
Reaction score
10
Tafadhalini wana JF naombeni mnisaidie kufahamu kuhusu uhamisho wa walimu, je nikweli mchakato huu umesimamishwa na kama umesimamishwa utafunguliwa lini?
 
Utafunguliwa baada ya uhakiki wa Watumishi hewa.
 
Hivi sakata la watumishi hewa bado linaendelea hivi
 
Unamaanisha nini? Watu tunasubir toka mwezi juni mpaka Leo halafu unasema haraka!
 
Ndoa lazima zvunjike kwel mchawi WA mwl ni mwl hawa watu walixhakuaga walm ila leo WA nawasahau walimu wenzao
 
Back
Top Bottom