Zitto Kigoma kunavuja, nenda kazibe ufa

Dec 16, 2016
23
10
Katika Jimbo la Kigoma mjini ambapo Zitto Kabwe ndio muwakilishi wa Jimbo hilo Bungeni, wananchi wamekuwa wakilalama na kumlalamikia mbunge wao kuwa hana msaada kwao zaidi ya kuwalaghai.

Wanakigoma wanalalamikia maji, umeme na miundombinu mibovu huku Zitto akiwa jijini Dar es Salaam ambako huko hakutani na madhila hayo.
 
Subiri alee kwanza na kutengeneza undugu na yule mtoto aliyemwongezea damu kisha atarudi

Ukiyashangaa ya Serukamba utayaona ya Zitto
 
Wanamlilia Zitto kwani ndie anaepeleka umeme na maji huko? Zitto ni serikali yao wao hawahusiani na serikali ya Tanzania? Zitto ayapeleka bungeni wamsubiri Muhongo akienda huko wamlilie kuhusu umeme.
 
ataonekana 2019 kwa kuchimba visima na misaada mingine kwa sasa ana majukumu mengi ya kifamilia
 
Back
Top Bottom