Recent content by periodic table

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Pole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa... Huyo haiitaji mwana saikolojia wala sobber house kwa sabab chanzo Cha tatizo kiko ndani ya familia na mama anajua vzur ... Baada ya kijana kufanikiwa ndugu walipambana kumuaribu akili ili...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

    Maisha ndio yalivyo...ukisema Cha Nini mwenzako anasema atakipata lini...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kutokana na maendeleo ya kiteknolojia, waislamu bado wanazo sababu za kuzuia wanawake kwenda kuzika?

    Unafikili uisilam unaendeshwa kwa mihemko ya sayansi na teknolojia??
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Mkuu endelea kusubiri jibu zuri...ngoja wachambuzi wa nyota wafike watakua na jibu kamili
  5. P

    JamiiForums Tanzania Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

    Wanamaanisha unaweza kufanya mambo makubwa sana tatizo ni wenge tu...Ila ukitulia u can
  6. P

    JamiiForums Tanzania Chasambi katukosea heshima wana Simba, atuombe msamaha

    Uhuru wa kujieleza uzingatiwe...Mim ni yanga lakini namkubali sana Muhammed Hussein Zimbwe junior... Maisha sio magumu kiasi hicho mkuu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nasumbulia na tatizo la nguvu za kiume naomba msaada

    Anza kwa kubadilisha profile,wewe mwanaume unawekaje profile ya ua jekundu,then ishi kama mwanaume,kula kiume,badilisha mtindo wa maisha,
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Hzi dini za mapokeo zimewaaribu Sana ...cjui mnatumwa na nani.. Huu ni utumwa wa kifikira ...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Tunajadili Mambo ya islael na India..huku wandengereko,wamakonde,wasukuma na wachaga ..wanatukanana wenyewe kwa wenyewe... Huu ni utumwa wa kifikira .. Low IQ mindset.. Poor thinking capacity... Letani fact tujadili ..mnaendelea kutukanana wakati Babu zenu wote walikua wanaabudu mizimu....
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mficha maradhi kifo humuumbua!

    Una shule kubwa Sana kaka,na umeinvest muda wako kwenye shule Ngoja niishie hapa ndugu yangu sina wakili wa kunitetea... Ila all in all Mungu ataweka nuru yake..
  11. P

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna misikiti zaidi ya 500 huko Canada, kwanini hawa watu wanaswali barabarani?

    Wangekua wanacheza uchi na kumkufuru Mungu usingesema chochote.... Acha Mungu aabudiwe jamii inyooke iachane na ushoga...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    Jamii forum ni home of great thinker.. Humu kabla ya kuchangia hua tunafanya analysis kama great thinker.. Hapa sisi tutaangalia risk benefit ratio. Risk ya kuendesha gar kwa speed Kali ni kubwa kuliko benefit yake... Wewe ni kijana mwenzetu acha kuendesha gari kwa speed kwa sabab bado...
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaochukia ndoa wanaongezeka kila kukicha, sisi tunaoendelea kuoa ni fala au?

    ili ndoa isonge mmoja ni lazima awe mjinga,Sasa ni nani Kati yenu atakubali kua mjinga ili maisha yasonge?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 za mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel!!

    Sikuwai kujua kama Irani ni wastaarabu kiasi hiki...hawajagusa kabisa makazi ya raia wasio na hatia..
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Huu ndio unaitwa ukweli mchungu...ukiwa na pesa hutapenda kupanda daladala ...l
Back
Top Bottom