Recent content by People

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

    So sad...R.I.P
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    kasome ibara ya 57 ibara ndogo ya 2F ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
  3. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni tofauti ya maneno "mungu" na "Mungu"

    Katika lugha ya kiswahili,kuna aina ya maneno inaitwa NOMINO.....nomino imegawanyika katika makundi au aina kuu nne....ya kwanza ni nomino za PEKEE, ya pili ni nomino za KAWAIDA, ya tatu ni nomino za jamii na ya nne ni nomino dhahania....sasa neno Mungu linaangukia katika aina ya kwanza yaani...
  5. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hata Tanga Mjini wamekata umeme.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Walimu waajiriwa wa 2011 tukutane hapa, Serikali imetusahau

    wewe unavyolipa kodi kibao ilihali nchi haina maendeleo unachezewa na nani? Jamii forum ni mahala pa greater thinkers na sio pa mambumbumbu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Walimu waajiriwa wa 2011 tukutane hapa, Serikali imetusahau

    Hujui taratibu za utumishi wa uma ndio maana umeandika upuuzi wako.Kwenye utumishi wa uma hatuongozwi na maneno ya kwenye TV, maandishi rasmi ni muhimu sana.Hatuna barua barua rasmi zinazonesha kuwa tutapandishwa mwezi huu wa saba.Fikiri vizuri kabla ya kutusi walim wanao ishi kwenye mazingira...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba kwa walimu (watumishi)

    hamna kitu kama hicho.....ni siasa kama kawaida yao.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe to teach Swahili in schools

    Fursa hiyo.
  10. P

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Bei ya mashine ya kusaga na kukoboa mahindi ni shilingi ngapi wakuu,
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    you are very right....Tanzania kila kitu kinawezekana.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    wewe itakua u mwerevu sana,hongera!!!!!
Back
Top Bottom