Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Mkuu, Chabruma anaingiaje kwenye huu uzi?
Last edited by a moderator:
Mkuu, Chabruma anaingiaje kwenye huu uzi?
Atawamaliza naona ameamua kuingia na gia ya chinjachinja kama ISIS
Kwa mjibu wa taarifa ya habari itv jioni ya leo saa 12 wameripoti kuwa katibu huyo amefariki ghafla kwa ugonjwa wa kutatanisha na mwili wake umehifadhiwa muhimbili
Katibu wa chama cha madereva ndgu RASHID SALEHE, amefariki katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kile kilichoelezwa ni matatizo ya Figo.
Katibu huyo atakumbukwa sana kwa kuongoza mgomo wa madereva wa mabasi ya mikoani uliofanywa mwaka huu kwa kudai haki za misingi za madereva nchini.
Wengi wameshtushwa na kifo hicho ambacho ni cha ghafla na pia kwakua hakuwahi kuwa na matatizo ya figo.