Recent content by Pentest

  1. Pentest

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    tatu bila
  2. Pentest

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    tumetolewa mpira umeisha 2-0 pole watz wote julio umejitahidi
  3. Pentest

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    Eh kumbe tunahitaji Gori moja tu tunaenda Olimpiki vijana wakaze puti jamani Sala zenu zinahitajika jamani VIJANA STAZ watafunga moja hilo si tatizo kwao.
  4. Pentest

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    Muda bado tukipata Gori moja tuna enda kwa penalti msife moyo wa TZ wanzangu
  5. Pentest

    Live: Stars, Simba vs Wapinzani

    Staz wanafungwa goli la pili dk 56 na mfungaji Ganiyu Oseni
  6. Pentest

    Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

    Michezo------Joseph Mbilinyi ( aka Sugu)
  7. Pentest

    Baada ya north africa itakuwa east africa people's power spread

    Re: Baada ya north africa itakuwa east africa people's power spread Acha kuota ndoto za mchana, unajua sababu za kina za Nchi za Tunisia na Misri kufanya hivyo ? Acha kuwa muoga ndiyo ninyi mnao faidika na huu unyonyaji shauri yako tunakuja kutoa watu hapa. Ubishe usibishe utakumbuka hii...
  8. Pentest

    Baada ya north africa itakuwa east africa people's power spread

    Wakuu ninacho jifunza kutoka kaskazini ya Africa ni kama tulivyo wavumilivu sisi watanzania, nao pia walivumilia sana tena wao wanaviongozi ambao ni madictator kuliko tulio nao sisi kwetu africa mashariki na hasa Tanzania. Nionacho au ninachojifunza kutoka kwa hawa watu nikuwa PEOPLE'S POWER...
  9. Pentest

    Tanzania ijifunze toka Tunisia; Wananchi wakizidiwa watawala hutimuliwa

    Jameni tuamke sasa tusifanye vitu kama bado tunatawaliwa na wakoloni tupo huru lkn bado tunatawariwa hata kuamua hatma ya maisha ya watoto wetu??? Lini nasi(kizazi hiki) tutabaki kwenye kumbukumbu yakuwa tumeitetea nchi kama wazazi wetu walivyo itetea nchi kipindi cha ukoloni? Ji ulize wewe...
  10. Pentest

    Tanzania ijifunze toka Tunisia; Wananchi wakizidiwa watawala hutimuliwa

    wana JF na watanzania kwa ujumla nina wazo ambalo naweza kusema kuwa tuatakuwa tumetatua matatizo mengi sana katika nchi yetu hii. Mimi binafsi nimependa sana walichofanya watunisia ..... Hivi sisi hatuwezi fanya kitu kinachofanana na hicho? Maana Nchi hii siielewi kabisa kama vile hakuna Raisi...
  11. Pentest

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Kheri mficha uchi ambaye baadaye ataadhirika kwa malazi ...Ninacho kiona hapa kwa hii walaka ni kama ngonjera kwa watoto wanao kaaa mtaa mmoja. Hakuna ufikiri yakinifu wowote ulio semwa hapo ukisoma walaka huo siwezi amini kama mashehe na wanazuoni wanaweza kuandika kitu kama hiki unless...
  12. Pentest

    Utaratibu mpya wa ticket CRDB hujakaa sawa

    Si zani kama unaelewa hiyo Technology.. Hakuna mdada anaye ita pale bro... Everything imekuwa programed ...utazoea tu hizo ndiyo huduma bora TATIZO LA SISI WATANZANIA HATUNA TABIA YA KUQUEUE ... USHAZOEA ZOGO KAMA MPO SOKONI VILE.
  13. Pentest

    Haja kubwa iinatoka kama ya mbuzi

    Yote yanaweza kuwa majibu ya kukusaidia lakini... ki Biolojia hizo ni dalili za AMOEBA hivyo fanya mpango uende hospital na watakupa anti biotic.... Usichelewe AMOEBA inauwa tena sana kwa watu wazima plz wahi hospital.
  14. Pentest

    Dr.Slaa sasa amtaka Kikwete ajiuzulu kuhusiana na sakata la DOWANS

    Duh Watanzania tunamezwa na ujinga,woga na upumbavu. katika hali ya kawaida wewe Dar es Salaam unaweza tetea unayo ya sikia kutoka kwa IKULU bila hata kufikiri usiwe kama gari bovu ambalo litafuata mwelekeo unapo lisukuma. Watanzania tubadilike ili maisha nayo yabadilike ...Hawa Mafisadi mbona...
  15. Pentest

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Dah maajabu ya musa haya.... Hawa si Vijana wasomi ila ni Vijana wasomewa.... Hiki kitu ni ujinga mtupu hawajui lile wala hili.. hope wanasoma kindergarten si chuo. Msomi wa chuo hawezi hata kuchanganua nini maana ya wabunge kutoka ndani ya bunge au mfano hata wabunge wanapo simama kuna...
Back
Top Bottom